James Mbatia kumtuhumu Rais Magufuli kwa Ukanda: Anamlinganisha na nani?

Ni wa Kaskazini but still ni kiongozi wa Chama ngazi ya Taifa. Wanachama wa NCCR-Mageuzi kutoka Kanda nyingine wanajisikiaje kusikia anavutia upande wa kaskazini?

Acha mihemko mfano kwako hamna maji ya kunywa na kwa Jirani hamna utaacha kuwatafutia watoto na mke uanze kutafuta maji ya majiranj kisa wewe ni balozi??

Asie hali vya nyumbani ni mpumbavu.
 
Mbona sijakuelewa ndugu? Kama msimamo wako ndio huo, mbona mnamulaumu JPM mkidai anapendelea kwao?
 
Huwa najiuliza sana juu ya watu wanaomtuhumu JPM kwa upendeleo eti kwa kigezo cha teuzi. Hata hivyo wanaolalamika hawawezi kukwambia Mikoa iliyoko Kanda ya Ziwa ni mingapi achilia idadi ya watu.
Halafu katika Miradi ya maendeleo, hakuna chochote kilichofanyika Kanda hiyo cha kusema huu Mradi upendeleo na hakuna Mradi wowote mkubwa wa kumshitua mtu kulinganisha na Miradi inayojengwa Kanda zingine.
 
Wewe hujui unachoongea. Usituletee mambo ya bunge kama kigezo unachotumia kumtetea Magufuli, ile ni mhimili mwingine kabisa, na yeye kama mkuu wa mhimili mwingine hapashwi kabisa kuuingilia huo mhimili.

Sasa wewe unamuhusisha vipi na uteuzi wa kamati za bunge! Wewe ongelea serikalini ndiko kunakomhusu na ndiko penye malalamiko mengi ya "Nepotism" iliyokithiri tofauti na awamu zingine.
 
Wiki hii wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Maliasili na Utalii, Mbunge wa Vunjo, mkoani Kilimanjaro, James Mbatia, ambaye ni Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, alimtuhumu Rais John Pombe Magufuli kwa tamko lake kuwa, "Watu wa Kaskazini wasubiri kwanza."

Katika kujenga arguments zake, Mbatia alijaribu kuonyesha jinsi kodi zilivyo nyingi katika sekta ya utalii (57) na kwamba fedha za utalii zinazorudi kwa wananchi wanaoishi maeneo ya kitalii ni ndogo na siyo 7% iliyopo kisheria. Mbatia alisifia juu ya mapato makubwa ya utalii kwenye TANAPA yatokanayo na Hifadhi tano zilizoko Kaskazini - Kilimanjaro, Manyara, Tarangire, Ngorongoro na Serengeti.

Hakutaja maeneo mengine ya kiutalii ndani ya Nchi bali alitetea na kusifia ubora wa Ukanda wa Kaskazini kiutalii. Bahati mbaya hakumpa Rais Magufuli, the benefit of doubt, ukizingatia kuwa, Rais aliyasema hayo akiwa katika Ukanda wa pili kwa Utalii nchini - Iringa.

Kwa kuwa, CHADEMA ndio wamekuwa mstari wa mbele kumuita Rais Magufuli kuwa anapendelea watu wa Kanda ya Ziwa, nimelazimika kufuatilia Wizara Kivuli 18 za Kambi ya Upinzani Bungeni kuona jinsi Wabunge kutoka Kanda zote nchini wamezigawana. Majibu yalikuwa ifuatavyo:
  • Kanda ya Kaskazini - 15, ambapo Wenyeviti wa Kamati wana Wizara - 08.
  • Kanda ya Ziwa - 07, ambapo Wenyeviti wa Kamati ni - 03.
  • Nyanda za Juu Kusini - 05, Wenyeviti wa Kamati ni - 02.
  • Kanda ya Mashariki - 04, Wenyeviti wa Kamati - 00.
  • Kanda ya Zanzibar - 02, Wenyeviti wa Kamati - 02
  • Kanda ya Kati - 01, Wenyeviti wa Kamati - 01.
  • Kanda ya Kusini - 01, Wenyeviti wa Kamati - 00.
  • Kanda ya Magharibi - 01. Mwenyekiti wa Kamati - 01.
Ndipo hapo nimekuwa najiuliza: Hivi Magufuli kuitwa mukanda, mudini na mukabila, wanamlinganisha dhidi ya nani?

Ndo umemharibia zaidi mtu uliyekusudia kumtetea!
 
Huwa najiuliza sana juu ya watu wanaomtuhumu JPM kwa upendeleo eti kwa kigezo cha teuzi. Hata hivyo wanaolalamika hawawezi kukwambia Mikoa iliyoko Kanda ya Ziwa ni mingapi achilia idadi ya watu.
Halafu katika Miradi ya maendeleo, hakuna chochote kilichofanyika Kanda hiyo cha kusema huu Mradi upendeleo na hakuna Mradi wowote mkubwa wa kumshitua mtu kulinganisha na Miradi inayojengwa Kanda zingine.
CIA
 
Angalia hizo takwimu vizuri. Licha ya Kaskazini kuwa na jumla ya Wabunge 15 pekee, imeingiza kwenye Kamati Wabunge 13, huku kati yao wanane (08) wakipewa uenyekiti. But Kanda ya Ziwa yenye Wabunge Saba (07) licha ya kuingiza sita, imeambulia unaibu zaidi licha ya kuwa na Wabunge wachache.
KIla unapojaribu kujenga hoja unajikuta unaharibu zaidi!
 
Haku
Angalia hizo takwimu vizuri. Licha ya Kaskazini kuwa na jumla ya Wabunge 15 pekee, imeingiza kwenye Kamati Wabunge 13, huku kati yao wanane (08) wakipewa uenyekiti. But Kanda ya Ziwa yenye Wabunge Saba (07) licha ya kuingiza sita, imeambulia unaibu zaidi licha ya kuwa na Wabunge wachache.[/QUOT.kanda ya kaskazin ina wabunge wangapi kulinganisha kanda nyingine na ni nani anaeteuwa hao wenyeviti wa kamati. Unakuwa metetezi alafu huna unachoelewa ni tatizo.
 
huwezi sema kanda fulani ingoje kwanza wakati zote zinachangia katika mapato au unataka tuje na ile sera ya majimbo kwamba kila mbnachovuna ndo mkipangie budget? ikiwa hivyo kunamikoa itatumia miaka mia kufikia kanda ka za kaskazini, kanda ya ziwa na pwani, pia nyanda za juu kusini, unadhani kanda ya kati itatumia miaka mingapi kua na lami? kuwa na maisha bora? so tuache kauli zijengazo ubaguzi kwa namna yoyote
 
Mbona Mbatia alikuwa analalamikia fedha za utalii zinazorudishwa kwa wananchi zifike 7%, ni wapi ambako Serikali iliwahi kuwarudishia wananchi walioko kwenye rasilimali asilimia hizo?
Sikuwahi kuona asilimia hizo zikipelekwa kwa wananchi wanaoishi na kuzalisha mapato ya samaki ama ya dhahabu.
 
Mbatia ndo wa kumsema mwingine kwa ubaguzi? yaani kama atasema mwingine kutoka upande wowote wa nchi naweza nikatega masikio vizuri na kumsikiliza walau lakini si mtu yeyote kutoka kaskazini kama Mbatia. Hawa watu ni wabaguzi sijapata kuona
 
Wiki hii wakati wa Mjadala wa Bajeti ya Maliasili na Utalii, Mbunge wa Vunjo, mkoani Kilimanjaro, James Mbatia, ambaye ni Waziri Kivuli wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, alimtuhumu Rais John Pombe Magufuli kwa tamko lake kuwa, "Watu wa Kaskazini wasubiri kwanza."

Katika kujenga arguments zake, Mbatia alijaribu kuonyesha jinsi kodi zilivyo nyingi katika sekta ya utalii (57) na kwamba fedha za utalii zinazorudi kwa wananchi wanaoishi maeneo ya kitalii ni ndogo na siyo 7% iliyopo kisheria. Mbatia alisifia juu ya mapato makubwa ya utalii kwenye TANAPA yatokanayo na Hifadhi tano zilizoko Kaskazini - Kilimanjaro, Manyara, Tarangire, Ngorongoro na Serengeti.

Hakutaja maeneo mengine ya kiutalii ndani ya Nchi bali alitetea na kusifia ubora wa Ukanda wa Kaskazini kiutalii. Bahati mbaya hakumpa Rais Magufuli, the benefit of doubt, ukizingatia kuwa, Rais aliyasema hayo akiwa katika Ukanda wa pili kwa Utalii nchini - Iringa.

Kwa kuwa, CHADEMA ndio wamekuwa mstari wa mbele kumuita Rais Magufuli kuwa anapendelea watu wa Kanda ya Ziwa, nimelazimika kufuatilia Wizara Kivuli 18 za Kambi ya Upinzani Bungeni kuona jinsi Wabunge kutoka Kanda zote nchini wamezigawana. Majibu yalikuwa ifuatavyo:
  • Kanda ya Kaskazini - 15, ambapo Wenyeviti wa Kamati wana Wizara - 08.
  • Kanda ya Ziwa - 07, ambapo Wenyeviti wa Kamati ni - 03.
  • Nyanda za Juu Kusini - 05, Wenyeviti wa Kamati ni - 02.
  • Kanda ya Mashariki - 04, Wenyeviti wa Kamati - 00.
  • Kanda ya Zanzibar - 02, Wenyeviti wa Kamati - 02
  • Kanda ya Kati - 01, Wenyeviti wa Kamati - 01.
  • Kanda ya Kusini - 01, Wenyeviti wa Kamati - 00.
  • Kanda ya Magharibi - 01. Mwenyekiti wa Kamati - 01.
Ndipo hapo nimekuwa najiuliza: Hivi Magufuli kuitwa mukanda, mudini na mukabila, wanamlinganisha dhidi ya nani?

Si kila kitu mpaka kifananishwe na kingine
..hauwezi kupinga shambulio la Hiroshima na Nagasaki kwa kuwa hakuna bomb lingine na nyuklia limeisha lipuliwa kwenye vita
 
Mbona Mbatia alikuwa analalamikia fedha za utalii zinazorudishwa kwa wananchi zifike 7%, ni wapi ambako Serikali iliwahi kuwarudishia wananchi walioko kwenye rasilimali asilimia hizo?
Sikuwahi kuona asilimia hizo zikipelekwa kwa wananchi wanaoishi na kuzalisha mapato ya samaki ama ya dhahabu.

..ushauri wa Mbatia ni mzuri.

..maeneo yenye vivutio vya utalii wapewe 7%.

..maeneo yenye rasilimali nyingine kama dhahabu, samaki, etc nayo yapewe 7%.

..hoja ya Mbatia itafungua mlango kwa wananchi wa maeneo mbalimbali kufaidika na rasilimali zilizoko ktk maeneo yao.

..Tumuunge mkono Mh.Mbatia badala ya kumlaumu.
 
Wewe ulishajiuliza hizo asilimia 7% zinakwenda wapi? Hivi unadhani endapo asilimia hizo zingekuwa zikigawiwa hivyo, mikoa masikini kwa rasilimali kama Kanda ya Kati, Magharibi, Pwani na Kusini ingekuwaje?
Kupanga huwa ni kuchagua but bear in mind mzee, mwanasiasa yuko sensitive na walipo wapiga kura na siyo kuliko rasilimali. This is Africa, you know oohhhhh???
 
..93% itakayokwenda serekalini itasaidia mikoa isiyo na rasilimali.

..mikoa ya pwani na kusini siyo masikini kama unavyodai.

..gesi imevumbuliwa mikoa ya pwani na kusini.
 
Hivi unajua maana ya umasikini wewe? Kuwa na rasilimali na kutumia rasilimali ni vitu viwili tofauti kabisa. Otherwise wafugaji ng'ombe wa Meatu na Mkoa mzima wa Simiyu, wangekuwa wakiongoza kwa maendeleo kutokana na jinsi wamekuwa matajiri wa mifugo.
Gesi yenyewe bado haijaanza kuchimbwa (ukiacha ile ya Songo Songo na Mnazi Bay ziliko nchi kavu).
Hata Pwani ni Mkoa masikini kiasili sema sporadic effects za ukuaji wa Jiji la Dar ndicho kilichowaokoa kutokana na mahitaji makubwa ya ardhi kwa ajili ya kilimo chenye faida ya kuwa karibu na soko, ujengaji wa viwanda, pamoja na ukuaji wa Dar (urbanisation) ambayo imeshavuka Mbande hadi Kisarawe (na possibly hadi Maneromango) na pia kutoka Kongowe hadi Mkuranga (na possibly hadi Kibiti na Ikwiriri), pamoja na kutoka Mbezi hadi Kibaha (na possibly hadi Chalinze), huku Mji wa Bagamoyo ukikaribia kumezwa pia.
So urbanisation imepunguza umasikini kwa kiwango kikubwa.
 
Kwenye Wabunge wa Viti Maalum wa UKAWA/CHADEMA, yenye jumla ya Wabunge hao 36, huku wakristu wakiwa wapatao 27 wakati waislamu ni 09 pekee.

Tofautisheni na CCM yenye jumla ya Wabunge hao 64 huku wakristo wakiwa wapatao 32 na waislamu wapatao 32, yaani 50-50.
Sielewi Concept ya hii Analogy, labda utueleze kama siku hizi imani ya kidini pia ni miongoni mwa vigezo vya ku-award mtu ubunge.. Naona umefirisika kabisa kichwani. Imani za kijingajinga hizi ndio zinapelekea wengine kujilipua. Hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom