James Mbatia atumiwa na CCM bungeni!

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
864
Kuna taarifa Kuwa CCM walimutumia JEMIS MBATIA ambaye aliandaa mtandao wa Wabunge wake kuhakikisha wanaunga mkono Kusomwa kwa Mswaada wa katiba kwa mara ya pili ili CHADEMA waonekane Wanafiki.

Taarifa zinasema mtandao huo wa CCM pamoja na kumwaga pesa nyingi lakini pia wamemuahidi Jemusi Mbatia kuwa watamlinda katika zoezi la kung'olewa nafasi ya Uenyekikiti Taifa!!
Taarifa zinaonyesha kuwa Mtandao huo ulimtumia Moses Machalo na baadaye kumupitia Bi Agripina Buyoya ambao wote kwa Pamoja wamefungishwa na Jemus Mbaitia ndoa ya mkeka na CCM mpaka mswaada huu upite!!
 
sidhani, mbona wabunge wa NCCR wao wamepinga? any way...........
Wabunge wa NCCR waiopinga ni Wawili tu!! (David Kafulila na Feix Mkosamali)
Waliopitiwa na Mulungula ni Moses Mcharo na Agripina Buyogra hawa walishindwa kutoka na kuungana na CCM!!!!
 
Machali kasema waziwazi bungeni (hansard imerekodi) kuwa anaunga mkono hatua ya CHADEMA 100%. Nadhani tuheshimu uamuzi wake kwa sasa.
 
Kuna taarifa Kuwa CCM walimutumia JEMIS MBATIA ambaye aliandaa mtandao wa Wabunge wake kuhakikisha wanaunga mkono Kusomwa kwa Mswaada wa katiba kwa mara ya pili ili CHADEMA waonekane Wanafiki.

Taarifa zinasema mtandao huo wa CCM pamoja na kumwaga pesa nyingi lakini pia wamemuahidi Jemusi Mbatia kuwa watamlinda katika zoezi la kung'olewa nafasi ya Uenyekikiti Taifa!!
Taarifa zinaonyesha kuwa Mtandao huo ulimtumia Moses Machalo na baadaye kumupitia Bi Agripina Buyoya ambao wote kwa Pamoja wamefungishwa na Jemus Mbaitia ndoa ya mkeka na CCM mpaka mswaada huu upite!!

Mbatia analile tatizo flani.
 
Mkuu, huko kwenye nyekundu unafanya makusudi au unamaanisha hivyo?
 
adhabu yao haitakuwa tofauti na ile waloipata cuf pale igunga. tunawasubiri kunako 2015
 
Mbatia aangaikie kwanza matatizo yake binafsi na aachane wa Cdm. Ccm wameshindwa kumaliza tofauti za ndani na dhana yao ya kujivua gamba. Sasa mbatia watamsaidiaje?
Kuna taarifa Kuwa CCM walimutumia JEMIS MBATIA ambaye aliandaa mtandao wa Wabunge wake kuhakikisha wanaunga mkono Kusomwa kwa Mswaada wa katiba kwa mara ya pili ili CHADEMA waonekane Wanafiki.

Taarifa zinasema mtandao huo wa CCM pamoja na kumwaga pesa nyingi lakini pia wamemuahidi Jemusi Mbatia kuwa watamlinda katika zoezi la kung'olewa nafasi ya Uenyekikiti Taifa!!
Taarifa zinaonyesha kuwa Mtandao huo ulimtumia Moses Machalo na baadaye kumupitia Bi Agripina Buyoya ambao wote kwa Pamoja wamefungishwa na Jemus Mbaitia ndoa ya mkeka na CCM mpaka mswaada huu upite!!
 
Kwa kuwa ni tetesi tu poa, ngoja tusubiri ukweli kama upo tutaupata tu. Ila check tena na hiyo source yako mkuu, isije ikawa ni propaganda.
 
Back
Top Bottom