Wabunge wa CCM waliounga mkono kusomwa mswaada kwa mara ya pili wazomewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CCM waliounga mkono kusomwa mswaada kwa mara ya pili wazomewe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KING COBRA, Nov 15, 2011.

 1. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kwa Kuwa Wananchu tuna wakilishwa na Wabunge na Kwamba sasa tunataka katiba mpya iliyo na maslahi yetu na sio kuchakachua !!!
  Upo ukweli kwamba CCM wamepora Ushindi wa Upinzani katika nafasi nyingi za Uchaguzi 2010 ili kupata mwanya wa kupitisha Miswaada na mambo wanayo taka wao kama walivyofanya jana kwenye mswaasa wa katiba na mswaada wa Mitumba!!

  Kama Wabunge wa CCM , CUF wamewazomea Wabunge waliosimama kupinga Mswaada unaotetea wananchi basi jukumuu la kwanza ni kuwazomea popote pale Wabunge hawa wa CCM kuanzia na Anna Kilango!!!
  Anna Kilango sio Mpambanaji wa Ufisadi bali yeye alikuwa anapambana na wali waliombaka Dodoma!!!


  Jemus Mbatia wa NCCR anatajwa kuwa alifanya njama za kushinikiza Wabunge wake Kuunga mkono , na alipewa fedha Chafu ambazo zilimgeuza Agripina Buyoya na Moses Machalo(0713 102971).
  Wote tumeona Wabunge wa NCCR wametoka nje isipokuwa hao wawili waliohujumiwa kwa fedha na Mbatia.

  Jemus Mbatia ameahidiwa na Mtandao wa CCM unaotafuta urais 2015 kuwa hatang'olewa na Wajumbe wa NEC ambao wanamtuhumu kuwa ni CCM-B!!!

  Suala la kuwazomea Wabunge wa CCM ziliambatane na kumuzomea Jemus Mbatia mwenyewe!!!

  Mbatia!! CCM!!CCM!!CCM!!CCM!!
  WBUNGE WA CUF!!CCM!!CCM!!CCM!!CCM

   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Samahani mkuu marekebisho kidogo hapo kwenye RED; ni CCM C. Inajulikana kuwa CCM B ni CUF
   
 3. s

  sanjo JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Imekaa vizuri
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Wakati utafika wa wao kuja kwa wananchi na kuomba kura hapo ndio watajua nguvu ya wananchi imekalia wapi,kwa sasa ni nadra sana kuwaona wabunge wa CCM kwenye majimbo yao maana upepo hauwaruhusu kwenda huko.
   
 5. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mnadhani wote ni chadema?,, acheni busara itawale, mawazo mengine ya wengi yanaweza kuwa ni ya kijinga hvy cy lazima kuyapokea. Wazomewe chadema kwanza .., kwa upumbav
   
 6. l

  luckman JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  usaliti wa taifa,ukandamizaji wa democrasia, uzoroteshwaji wa dhamira ya kweli ya kumkomboa mtanzania lazime ukataliwe kwa njia yoyote ile!
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Nimemwona huyu Umi Mwalimu anavyoongea kana kwamba yuko saluni,sijuhi kapewa dollar ngapi huyu dada..mke wa hivi hata bure huwezi kuoa.
   
 8. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Na wew utaje Chama chako ili tukupe haki yako!!!
   
 9. m

  mjaumbute Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 10. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  hilo ni gamba bila shaka
   
 11. E

  Eliakim Mollel Member

  #11
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba serikali ina mpango au agenda ya siri kuhusu huwo Muswaada wa katiba, na inaoneka wazi speaker wa bunge anahusika kusimamia mipango hiyo, hivyo tungeacha uchadema na uccm. tupaze sauti zetu pamoja kwa mustakabal wa future ya taifa letu,
   
 12. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #12
  Nov 16, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upumbavu gani?kudai haki ni upumbavu?hakika wewe ni mpumbavu namba moja.
   
 13. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wakati CHADEMA wanataja Orodha ya Mafisadi CCM walisema ni Upumbavu lakini tumeshuhudia Wote waliotajwa , kama hawajakamatwa basi wanatakiwa kujivua gamba na keshokutwa kunakikao kinanukia VITA!!!!

  Hapa ni nani ana akiri????????????
   
Loading...