James Mbatia amuwakia vikali Rais Samia, asema nchi haina uongozi

Ungejua maisha yalivyopanda nchi kama USA ya dunia ya kwanza kabisa, usingekuja na rundo la malalamiko.
😂😂 mama kwenda USA kawaziba kabisa ufahamu. Hata sisi tunao ndg huko na hawatusimlii hadithi hizo, anajua hata bei ya sabuni huko? Ye si anazikuta zote zishalipiwa hadi mafuta yako full tanks wakimwambia tumejaza kwa dola kadhaa anajibu oooh yeah piraah.
 
Bei kupanda ndio kanuni za kiuchum zilivyo, huwezi kupandishia watu mishahara halafu wakaendelea kulipia huduma zote kwa bei hizo hizo.

Ni tatizo la kidunia hili halikwepeki. Hakuna maisha mepesi yanayokwenda kwa mujibu wa matakwa ya kila mtu, demand and supply ni somo pana sana ukilielewa vyema hutakuja na hoa za sijui petrol ilikuwa shilingi ngapi na sasa ni shilingi ngapi!.
Mjinga mkubwa wewe, kwahiyo wewe ndiyo unaelewa sn kuliko watu wengine? wasomi wa Tanzania 99% ni wajinga wote ndiyo maana mmeshindwa kuisaidia nchi sababu ya tamaa zenu na uvivu wa kufanya kazi, wewe hapo ukute bado unaishi kwa shemeji yako huna hata kibanda cha nyanya unasubiri shemeji yako aende kazini ndiyo uende mezani kunywa chai.
 
Acha kuwadanganya kilichopanda bei USA ni mafuta tu, bidhaa nyingine zimepanda kwa kiasi kidogo sana, huwezi linganisha mfumuko wa bei Bongo na US ni vitu viwili tofauti.
Hajawahi hata kufika USA anaisikia toka kwa Mumewe yeye ni kula kulala
 
😂😂 mama kwenda USA kawaziba kabisa ufahamu. Hata sisi tunao ndg huko na hawatusimlii hadithi hizo, anajua hata bei ya sabuni huko? Ye si anazikuta zote zishalipiwa hadi mafuta yako full tanks wakimwambia tumejaza kwa dola kadhaa anajibu oooh yeah piraah.
Maisha yamekuwa ghali karibu dunia nzima. ni uvumilivu tu unatakiwa. Usidhani hizi frustrations inazo wewe tu na familia yako.
 
Mjinga mkubwa wewe, kwahiyo wewe ndiyo unaelewa sn kuliko watu wengine? wasomi wa Tanzania 99% ni wajinga wote ndiyo maana mmeshindwa kuisaidia nchi sababu ya tamaa zenu na uvivu wa kufanya kazi, wewe hapo ukute bado unaishi kwa shemeji yako huna hata kibanda cha nyanya unasubiri shemeji yako aende kazini ndiyo uende mezani kunywa chai.
Mtanzania wa kawaida katika ubora wake. Ngoja nichukue mwamvuli ili haya mapovu yasinirukie usoni.
 
Naungana na Mbatia nchi inaendeshwa kama haina kiongozi, leo mafuta yanauzwa bei ambayo hatujawahi kuona lakini Rais amekaa kimya tu.
kumbe yupo mwingine siku hizi? basi mi bado nawaza eti boss wetu yuko mapumzikoni Chato!
 
Sasa huyu ndo James mbatia ninayemjua ,sio James mbatia wa majuzi aliyekurupuka na kusema "Sasa mama anatuponya majeraha" wakati ndo kwanza majeraha yanachokonolewa !!, tunamshukuru Allah kwa kumrejeshea James mbatia akili zake.
Vyama vingine na viongozi wao niwapumbavu nimpetaarifa kuwa miradi inaendelea vizuri hata ajira zinatoka sasa sijui hajui kuwa tumeshinda tuzo huko juu na bado katika watu 100 mashuhuri rais yumo kabla yakusema neno kwanza tufikiri kwakutumia kichwa sio makalio nadhani jamaa alifikiri kwa kutumia makalio
 
Back
Top Bottom