Mwenyekjti wa chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia ameongoza kikao cha halimashauri kuu ya chama hicho na kuelezea maskitiko yake juu ya alichokidai ni ukiukwaji wa haki za democrasia unaofanywa na seriakali dhidi ya wanasiasa.
mikutano ya ndani ya chama ni ruksa!!! mnabisha nini?
========
NCCR Mageuzi yawataka watanzania kuikataa katiba inayopendekezwa.

Mwenyekiti huyo wa NCCR Mageuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Vunjo katika kikao hicho pamoja na masuala mengine amesena chama chake kinaunga mkono sera ya umoja wa katiba ya wananchi ukawa huku akiwataka wananchi kutokuipigia kura katiba inayopendekezwa.
Katika hatua nyingine baraza la vijana la taifa la Chadema limesema bado linania ya kwenda mkoani Dodoma kwa kile linachodai nikulisaidia jeshi la polisi huku pia likisema sasa limeandaa hatua nyingine zaidi.
Chanzo: ITV