James Mbatia ameongoza kikao cha Halimashauri kuu ya NCCR Mageuzi

lendomza

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
396
228
Mwenyekjti wa chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia ameongoza kikao cha halimashauri kuu ya chama hicho na kuelezea maskitiko yake juu ya alichokidai ni ukiukwaji wa haki za democrasia unaofanywa na seriakali dhidi ya wanasiasa.

mikutano ya ndani ya chama ni ruksa!!! mnabisha nini?

========

NCCR Mageuzi yawataka watanzania kuikataa katiba inayopendekezwa.
mbatia%286%29.jpg

Mwenyekiti huyo wa NCCR Mageuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Vunjo katika kikao hicho pamoja na masuala mengine amesena chama chake kinaunga mkono sera ya umoja wa katiba ya wananchi ukawa huku akiwataka wananchi kutokuipigia kura katiba inayopendekezwa.

Katika hatua nyingine baraza la vijana la taifa la Chadema limesema bado linania ya kwenda mkoani Dodoma kwa kile linachodai nikulisaidia jeshi la polisi huku pia likisema sasa limeandaa hatua nyingine zaidi.

Chanzo: ITV
 
Hivi hao wajumbe sio wa kuazimwa kweli kutoka CDM maana nakumbuka katibu na makamu walipigwa chini baada ya Kuta ridhiwanika na jinsi chama kilivyokuwa kinaendeshwa kwenye mwamvuli wa ukawa
 
Hana jipya tushamzoea
 
P
Hivi hao wajumbe sio wa kuazimwa kweli kutoka CDM maana nakumbuka katibu na makamu walipigwa chini baada ya Kuta ridhiwanika na jinsi chama kilivyokuwa kinaendeshwa kwenye mwamvuli wa ukawa
Peleka umbea wako huko lumumba
 
Hu
Ndiyo wapo mkuu, kwani vip?? Wapo tu ukiwataka sema utawaona tu, hujawataka ila wapo kiongozi.[/QUOTE
Mwenyekjti wa chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia ameongoza kikao cha halimashauri kuu ya chama hicho na kuelezea maskitiko yake juu ya alichokidai ni ukiukwaji wa haki za democrasia unaofanywa na seriakali dhidi ya wanasiasa.

mikutano ya ndani ya chama ni ruksa!!! mnabisha nini?

========

NCCR Mageuzi yawataka watanzania kuikataa katiba inayopendekezwa.
mbatia%286%29.jpg

Mwenyekjti wa chama cha NCCR Mageuzi James Mbatia ameongoza kikao cha halimashauri kuu ya chama hicho na kuelezea maskitiko yake juu ya alichokidai ni ukiukwaji wa haki za democrasia unaofanywa na seriakali dhidi ya wanasiasa.

Mwenyekiti huyo wa NCCR Mageuzi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Vunjo katika kikao hicho pamoja na masuala mengine amesena chama chake kinaunga mkono sera ya umoja wa katiba ya wananchi ukawa huku akiwataka wananchi kutokuipigia kura katiba inayopendekezwa.

Katika hatua nyingine baraza la vijana la taifa la Chadema limesema bado linania ya kwenda mkoani Dodoma kwa kile linachodai nikulisaidia jeshi la polisi huku pia likisema sasa limeandaa hatua nyingine zaidi.

Chanzo: ITV
Mbatia si ndio miongoni mwa wanaosema wanazuiwa kufanya sias?
 
Atajijua mwenyewe na Ukawa yake, ole wake aende Dodoma tarehe 23 atakiona kilichomtoa Kanga Manyoa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom