Kama wanachofuata ni ubunge hawafai, na wasipwe nafasi wajinga hawa. Leo ndiyo wanajua kuwa ccm ni mbaya kwa kuwa maslahi yao binafis yameguswa?!Wakati zitto akiparurana na karamagi juu wa mkataba wa mgodi Lembeli alikaa kimya kana kwamba issue ile haikuwa jimboni kwake. Lembeli alikataa kutoa maoni yake kwenye tume ya bomani juu ya urekebishaji wa mikataba ya madini, leo dhahabu imekwisha na mgodi unafungwa mwisho wa mwaka huu huko chedema atatetea maslahi gani ya wana chadema aliyoshindwa kuyatetea kwa miaka kumi aliyokaa ccm?