Jamboleo na Kagame kuna nini?


Kiongozi Robert nakubaliana na wewe kuwa kutoa ushauri wa mazungumzo kwenye conflict resolution ni njia moja ya kuleta mapatano. Lakini ushauri lazima uwe genuine. Usinipe ushauri wa kuongea na adui yangu wakati unampa support ya hali na mali huyo huyo adui yangu. Nikilijua hili ni lazima nikasirishwe kwa kuwa ushauri utakuwa wa kinafiki. Pili, waasi wa FDLR hawana nia ya kuzungumza, wao wanataka revenge na continuation of the genocide. Sioni hatia juu ya Rais Kagame kwenye hili. Nadhani yeye si mjinga kwa kuwa anawajua vema maadui zake hawa.
 
Acheni uhoga uyu kagame skeleton lazima tumchape kipigo cha paka mwizi,,tumfunze adabu.
 

Nyie watutsi lazima tuwape kipigo kitakatifu,,maana mnapenda sana uchokozi...hampendi amani sisi tutawafunza amani.
 
....A very good analysis!..ila sasa kama unavyowajua hao watutsi wakiona umewapasha ukweli kama huu watajitahidi kujaribu kupindisha na kujifanya hawaelewi!
 

Ha ha ha genocidaire mna mambo sana. Naona umeamua kufunguka. Hivi wewe ndugu yangu unafikiri unaweza kuniyumbisha mimi na vitisho vya kitoto namna hii.Haya, kila la kheri. Watanzania hatuko tayari kutumia kodi zetu kuwabeba wauaji wa FDLR. On this I plead guilty, send me to the guillotine! hell, I'll unhinge the blade myself to my gory demise. I'd rather go out swinging for what's right than live a lie.
 
Nyie watutsi lazima tuwape kipigo kitakatifu,,maana mnapenda sana uchokozi...hampendi amani sisi tutawafunza amani.

Mwl. Nyerere alishasema ya kuwa "dhambi ya ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu". Leo hii mnatuita "watutsi" wale tunaotofautiana mawazo na ninyi mlioamua kuunga mkono wauaji wa FDLR kana kwamba hamjui walichokifanya mwaka 1994. Upofu huu kwa mambo yaliyowazi unatokana na nini? Huo u-tutsi au u-hutu aliyeuanzisha ni nani na kwa misingi gani? Kama hao mnaowaita "watutsi" ni wabaya je Rudasingwa na Nyamwasa ni nani?
 
Watanzania hatujasema tunataka vita na nchi yoyote ile, lakini pia hatutakaa kimya iwapo tutachokozwa. haijalishi gazeti la Jambo Leo linamilikiwa na nani, ili mradi tu linamilikiwa na Mtanzania anayejaribu kutetea maslahi ya nchi yake. Sidhani kama Jambo Leo ndio walioanzisha hizo chokochoko? Ni PaKa mwenyewe alipoanza kumtishia Rais wetu na kufuatiwa na hilo gazeti lao ambalo limekuja na maneno machafu kibao hadi kumsingizia Mh Rais kuwa ni mhutu na pia mama Salma Kikwete!.....wewe haya yote ulitaka wa Tanzania tukae tu kimya tusiseme kitu? Huo utakuwa upole wa kipumbavu. Na hizi habari hao watutsi walizoziandika kuwa Mh Rais haelewani na Chief wa Usalama wa Taifa wewe uliziona ni RAHA kwako sio?.....
 

Mkuu tatizo langu ni hili je kuna ushahidi gani JK anawasapoti hawa FDLR .Hata kama kuna ushahidi wa Twagiramungu alikuwepo hatujui mazungumzo yalikuwa ni ya nini mpka tuseme jamaa anasapoti uendelevu wa uvunjifu wa amani labda alikuja kupata msaada wa mazungumzo kama walovyopata wa akina Kagame wakati huo.Tz hatupo hvyo Rais wetu si dikteta mpka atake kuwapa msaada wa kijeshi wa FDLR bila kupata approval ya bunge.
 

Mkuu Robert sijawahi na simtuhumu Rais wangu Kikwete ya kuwa anawasaidia FDLR, la hasha. Inawezekana kabisa kuwa alitoa ushauri kwa nia njema tu ya kuona amani katika maziwa makuu. Ila nina shaka kuwa kuna viashiria ndani ya serikali ya awamu ya nne ambao wanawaunga mkono waasi wa FDLR. Kama kweli Twagiramungu na viongozi wa FDLR wamekuwa hosted na serikali ya Tanzania basi hapo kuna tatizo kubwa sana. Kama wangetaka mazungumzo wangefuata taratibu zinazokubalika. Ni kwanini kufanya siri?
 
Watz wenzangu ebu tujiulize madhara ya kiuchumi tuliyoyapata baada ya vita ya Uganda?
Hawa wenzetu vurugu, vita,mauaji ya kikabila na mambomengi ya taswira hiyo I sehem ya utamduni wao ktika maisha ya kla siku

Tutumieni busara za kidiplomasia kumaliza kadhia hii mama zetu hawajazoea kutembea na watoto migongoni
 

Ndo maana na mimi mkuu nikasisitiza serikali ya Kigali kupitia ubalozi wao hapa nchini ungeomba maelezo kutoka serikali ya Dar kama taarifa hzo zilikuwa ni za kweli
japo ujasusi ni kosa kumfanyia mwenzio ila kuna exceptional kwenye suala hilo.
 
Manyerere Hapa na mimi nakuunga mkono!!
Tunatukanwa sisi kupitia kwa Kikwete!!
Sasa Udhaifu wa Kikwete unafanya kagame atutukane sisi na yeye hapa lipitishwe azimio!!
 
Jambo Leo leo tena wameendelea na kampeni ya kumchafua Rais Kagame. Very reminiscent of Kangura. Haya tusubiri "Tanzania manifesto" all over again. Aibu, aibu.
 
Am not a genocidaire, na wala sishangazwi na hiyo kauli yako! Na pia hakuna mahali nilipokutisha, I don't have that power. By the way, waanzilishi wa hiyo genocide ni nyie watutsi kwa kuwaua marais wawili mlivyoipindua ndege yao wakati huo wanatokea TZ kwa ajili ya mazungumzo ya amani. Pia ujue kuwa si watutsi pekee waliokufa katika mauaji yale, inawezekana waadhirika wakubwa walikuwa wahutu kwani by then idadi ya watutsi rwanda ilikuwa ndogo. Anyway, let me not go back there. LAKINI ukae ukijua kuwa, hakuna mTanzania anayependa kuona vita au mauaji au mavurugu yoyote; na vilevile hatutakaa kimya mkituletea chokochoko!....ulisema kuhusu dhambi ya ubaguzi somewhere, hivi kuna watu wabaguzi kama watutsi? hata chanzo cha hiyo genecide na chuki zisizoisha kati ya wahutu na watutsi ni ubaguzi na dharau watutsi wanazowafanyia wahutu. Hata leo ukifika Uganda na Rwanda, watutsi ndio wanashikilia nafasi kubwa na nyeti serikalini. Angalia Buyoya alichomfanyia Ndadaye huko Burundi? .... Sasa sisi kwa sababu tushawajua watutsi na nia zao mbaya, ni bora tuitwe wabaguzi kwa kulinda amani ya nchi yetu badala ya kumkumbatia adui alafu mwisho tuwe kama DRC au Uganda!......Msilete (kama na wewe ni mtutsi,kama sio am sorry, read it "wasilete") "cover" ya ubaguzi ili kuendeleza vurugu za kichinichini hapa kwetu..
 
Kwahiyo nyie mnafurahia nchi yetu kuandamwa na habari za kupikwa na propaganda za rwanda bila kujibiwa na vyombo vyetu vya habari sio? Mnawazimu

Vyetu! Vyetu na nani?Kwani kila gazeti ni chombo chetu? Au kila TV ni chombo chetu?

Soma maelezo na utaelewa kihelehele cha hilo gazeti ni kwa nini.
 

Mkuu yaani ukisoma text in red utaona kabisa wewe ni genocidaire. Kauli zako hazitofautiani kabisa na kina Ingabire. Wao hunena kauli zizo hizo. Naomba nikurekebishe kuwa ndege ya Rais Habyarimana ilitunguliwa na FAR from their base next to the airport, using one of twenty S.A.M's given to FAR by the French. Wakina Bagosora na wahutu wenzi wake wenye mrengo mkali hawakupendezwa na power sharing agreement kati ya Habyarimana na RPF kwani ingetibua nia yao ya kuwamaliza "watutsi". Pili, ni kweli kuna "wahutu" wastaarabu waliuawa lakini wengi wa waliouawa walikuwa ni "watutsi". You have to understand that this hutu/tutsi designation is mainly superficial or as some used to call it "nose politics". There is not a scientific method to tell who is "hutu" and who is "tutsi". Rwanda inaheshimu sana Tanzania. Burundi is completely another ball game. Naomba uniambie Buyoya alimfanya nini Ndadaye na ukimaliza uniambie Ntibantunganya aliwafanya nini "watutsi"?
 
Jambo Leo leo tena wameendelea na kampeni ya kumchafua Rais Kagame. Very reminiscent of Kangura. Haya tusubiri "Tanzania manifesto" all over again. Aibu, aibu.

Mimi mara kwanza mambo haya yanaanza niliwaambia diplomasia inatakiwa Tz ikatumia diplomasia bado Rwanda kwa kutumia gazeti lake wakarudia tena jambo lilelile.
Nikasema humu humu vyombo vya habari vya Tz wakianza propaganda hapatakalika maana hii nchi kuna watu wamefuzu kwa propaganda rejea vita vya kagera,wareno,makaburu.
 

Mkuu ktk yote hayo uliyoyaandika hapo juu ni lipi la uongo na lipi la ukweli. Au yote yaliyoandikwa na gazeti la Rwanda ni uongo? Tatizo letu wa-TZ tunapenda sana kufahamu utakatifu wa serikali yetu.

Binafsi sihitaji kuitetea serikali hii bila sababu. Ni bila sababu kwa sababu serikali hii haijawahi kunieleza ukweli. Kuna wakati vyombo vya nje ya Rwanda (UN?) iliandika juu ya kujihusisha kwa Wa-TZ kuuza siraha Kongo. Tena hawa walikuwa watu binafsi na hata siyo serikali. kwa nini sasa huamini kwamba mke wa Rais anaweza kujihusisha na biashara zake.

Tunaweza kujikuta vitani ili mke wa rais afaidike. Kwa nini hatutaki kumuhoji rais wetu badala yake eti tunahoji ukweli wa gazeti la Rwanda. Mbona ni hawa marais wetu wanaotuibia bila aibu? Halafu eti unaniuliza kama nitafurahi kusikia mke wa rais akitajwa kwenye mambo hayo ya vita. Kwangu ni ggod news kama zile za pembe za ndovu.

Hapa hapa vyombo vyetu vinaogopåa kuiandika familia ya Rais, leo hii unasaidiwa kuijua kupitia Rwanda eti wewe unachukia! kwa nini?

Nina marafiki Rwanda, lakini siwatetei hawa wapangaji wa ikulu.

Nasema tena, sitatetea mambo ya kama haya wakati sijawahi kuhusisha ktk shughuli za serikali.
 

kwahyo navyo vilivyoandikwa na jambo leo ni sahihi,kwahyo tuache mnyukano huu uendelee.
 
UTAKAVYOONA, you are just a human being and you can't see my heart. Call me all the names you can. Those are defenses tutsis use when they are told the truth. Ukweli utabakia ukweli!....I have been in Rwanda, I have been in Burundi, I lived for several years in a region bordering Burundi, I have experienced a bad relation existing between the two ethnic groups. So my arguments are not based on "google" information. Kila la kheri, kazi njema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…