Uchaguzi 2020 Jambo wanalopaswa kufahamu CHADEMA, ni kwamba muda wa kufanya siasa za kistaarabu umekwisha

Mkuu mr mkiki kwa hoja hizi inaonekana wewe unachochea vita itokee kati ya CHADEMA na Serikali ya CCM. Hii ni hatari sana ndugu kama imefika mahali mtu unaweza kuandika uzi wa kishari shari kama huu basi hali ni mbaya. Mkuu fahamu kwamba Serikali yoyote ile duniani haiwezi kukubali kirahisi kufanyiwa hujuma unazozipendekeza wewe na halafu ikakaa kimya tu bila kuchukua hatua.

Kuwa makini sana na vitu unavyoandika maana "shari" huzaa "shari". Ushauri wako kwa CHADEMA utawaletea matatizo makubwa kuliko suluhisho.
Mkuu unazani MACCM wanataka majadiliano?
 
CHADEMA inatakiwa kuanzisha kitengo ‘maalum’ cha ‘kuwashughulika’ na mijitu misaliti kama waitara, mtatiro na ‘wasiojulika’ ili kurudisha heshima kwenye mstari, otherwise wasaliti na wasiojulina watapiga kambi CDM, .........
 
Ila naona kama ushauri wako unabezi zaidi kwenye kuwataka watanzania wasiokubaliana na ccm na serikali yake wawe waoga na wasidai kinachowastahili.
 
CHADEMA inatakiwa kuanzisha kitengo ‘maalum’ cha ‘kuwashughulika’ na mijitu misaliti kama waitara, mtatiro na ‘wasiojulika’ ili kurudisha heshima kwenye mstari, otherwise wasaliti na wasiojulina watapiga kambi CDM, .........
Hakika Mkuu ujinga kama huu uwezi kuukuta nchi zenye ideology
 
Hapo najua watauiliwa na chadema wa Mikoa mingine tu kama ilivyo ada lkn hakuna wa KLM atakayeguswa!
Dogo yaonekana kama unawahusudu sana watu wa pande za mlimani eeh! Au umechumbiwa pande za Hai? Yaani kijana mwelewa wa calibre yako hustahili kushabikia ukabila hata mara moja kwani hauna maendeleo! Kemea mgawanyiko wa taifa kwanza ili lirejee hali yake ya umoja!
Uwe unasoma japo historia ya darasa la tano c basi kujua madhara ya ukabila na ukanda! Halafu wewe ndiye kinara wa kuutangaza sana ukabila na ukanda hapa jf as if unataka kurejea kwenu Burundi!
 
Hakuna haja ya kupigana, naomba; Chadema msikubali kuingizwa mkenge na hao!. Yana mwisho!.Mungu anaona,hakuna damu ya mtu inayopotea bure,dhuluma siku zote haiwezi kushinda haki;dunia inaona,Watanzania wa leo siyo wa jana wanaona na ukweli wanaujua. Majibu yapo karibu usiwe na haraka kuweni watulivu.Mungu atawashangaza
 
binafs sasa hivi ndo nimegundua kwann vita zinatokea nchi za wenzetu!!!

sio kwamba watu hawapendi amanii
huwezi ukalazimisha amani kwenye uonevu ulio kithilii

me nadhan wale wa kibiti bora tu warudishe majeshi tena isiwe kibiti tena iwe huku huku center
 
Son of Gamba kwa mfano wewe unadhani njia gari bora itumike wakati njia zote za kidemokrasia zimeshindikana? hili ni jukwaa huru labda utuambie kwa mtazamom wako wewe ni njia gani inafaa? usikimbilie kwenye kutishia vita tu na ukadhani watu wanatishika kaka, weka hapa ni njia gani unadhani wewe zinafaa? mr mkiki nadhani umetumia maneno ya sitiari kidogo kuficha ukakasi wa bandiko lako, lakini kauli nzuri ni kuwa CHADEMA na muungano wote wa vyama watafute mbadala wa njia gani za kukabiliana na Jeshi la polisi. Hio hasa ndio ilikuwa kauli sahihi kutumia. Uchaguzi wa juzi Buyungu mgombea anasema walipelekwa Field Force 400 tena usiku mnene na Katibu mkuu CCM anasema vita ni wakati wote, sasa hapo unadhani kuna nini tena? kwenye bandiko lako ondoa neno intelijensia weka neno "Techniques za kupambana na jeshi la polisi na tume yake"
 
Na pia mwambie kijana hakuna maisha mazuri kama kufa.
 
umeongea point mkuu mana bila polisi na tume mbovu ccm hakuna exactly.

upinzani watafute njia mbadala tu lasivyo upinzani hakuna mana hakutakua na jipya

just imagine uchaguzj wa diwani tu watu wanachimwa visu
 
binafs sasa hivi ndo nimegundua kwann vita zinatokea nchi za wenzetu!!!

sio kwamba watu hawapendi amanii
huwezi ukalazimisha amani kwenye uonevu ulio kithilii

me nadhan wale wa kibiti bora tu warudishe majeshi tena isiwe kibiti tena iwe huku huku center
Ugaidi sometimes huwa ni matokeo ya kukosekana kwa haki na usawa katika jamii.
 
Back
Top Bottom