Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,763
- 819
TBC kwa kweli huyu jamaa Raymond kiongozi wa dini za asili analizungumzia vema sana hiili swala, anasema haya yote yamelelewa na serikali kwa kuruhusu mihadhara ambayo ndiyo imewajenga na kujenga ujasiri coz serikali haikuwakemea. Na kama utaratibu wa kuchinja ulikuwa au haukutiliwa maanani, sasa wakristo wamashajua kuwa ni ibada sasa hawawezi kuendelea kuabudu ibada ya kiislam, sasa serikali ipitie upya na kufanya maamuzi mapya ili kujenga amani. Ameshauri kuundwe baraza ya usuluhishi wa maswala ya kidini kuanzia kijiji hadi taifa.
Amesema kipo kifungu kwenye quran ambacho kinamruhusu mwislam kula nyama aliyochinja mkristo, ambapo wao wanasema labda awe padre, amesema mengi. Kwa ufupi nampongeza sana amejitahidi sana kujenga hoja.