Kuna aina tatu za uchinjaji duniani:
Kuchinja kwa imani ya kiislamu
kuchija kwa imani ya kiyahudi
kuchinja kwa imani ya wahindu
Pia weka kwenye akili yako kuchinja kwa kutumia machine(nyenzo), "stunning" yaani kumuondoa myama fahamu, kisha kumchinja, hapa hakuna imani, ni mtu yeyote anatia kisu baada ya kumtoa mnyama fahamu.
Kwetu Tanzania, zoezi la uchinjaji limekuwa likifanyika kwa mazoea tu, kwamba wanachinja waislamu, hakuna sheria yeyote iliyoelekeza hili, ni ungwana tu wa watanzania. sasa vuguvugu linaloendelea sasa hivi, ni baada ya kuanza kwa vurugu za akina ponda,uhamsho, nk. enzi za mwalimu, watu
kama hawa wanaovuruga amani, walikuwa wanaondolewa kimya kimya bila kuvuryga amani ya nchi. kwa taarifa yenu wana jJF, hawa siyo waislamu, wanaichafua uislamu, ni kikundi cha watu waliovaa mwamvuli wa dini ya uislamu.
Ni maoni yangu wana JF. serikali inatakiwa kufanya kazi, naona wamejisahau. Act like a Army Unit! Kamata wavunja amani, nyonga kimya kimya wananchi waendelee na maisha yenye amani.
F.