Jambo TBC1. swala la kuchinja

Jambo TBC1. swala la kuchinja

Kwa hakika kila mwenye akili salama anatambua kwamba hii ni nchi ya kuvumiliana kwa kuwa tunaamua sasa kuwa kila dini kivyake,tuanzie kwenye kuchinja twende kwenye mahoteli,hosptali,halafu tugawane na siku ya kupumzika kisha tuhamie kugawana na madaraka ya uongozi wa nchi yetu tukufu,na kila kinachowezekana kugawika tugawane na serikali itoe ruzuku kwa dini zote hii ndio njia pekee ya kuleta amani nchini mwetu

sidhani kama kugawa hivyo itasaidia zaidi zaidi ndo itafanya mambo kuwa makubwa kwa kila upande kuamini upande mmoja unapendelewa, naamini tungeendelea na hali tuliyokuwa nayo awali ingependeza zaidi
 
Nawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ
Mzizi wa hizi choko choko ni Alhaj Jakaya Mrisho Kikwete Khalfani,,, mzee wa Msoga
 
Nawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ

Kusema cha ukweli ccm walihubiri sana ktk yile kampeni za 2010 eti cdm ni chama cha wakristo wakiamini wa tu watakichukia cdm kumbe mambo ni tofauti na matokeo yake sasa ukristo ndo uliochukiwa badala ya cdm. Niwakati sasa ccm kukaa na kuweka ushabiki wa kisiasa pembeni na kuinusuru hii nchi kwani tunakoelekea siyo kuzuri na ile nia ya kupiga kampeni za kutugawa ili mpate kuendelea kubaki madarakani mwache kwani haitakuwa jambo jema kubaki madarakani huku mkiwaongoza watu wasiopendana na wanaofikiria kuuwana ama kupigana
 
Nawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ

Kusema cha ukweli ccm walihubiri sana ktk yile kampeni za 2010 eti cdm ni chama cha wakristo wakiamini wa tu watakichukia cdm kumbe mambo ni tofauti na matokeo yake sasa ukristo ndo uliochukiwa badala ya cdm. Niwakati sasa ccm kukaa na kuweka ushabiki wa kisiasa pembeni na kuinusuru hii nchi kwani tunakoelekea siyo kuzuri na ile nia ya kupiga kampeni za kutugawa ili mpate kuendelea kubaki madarakani mwache kwani haitakuwa jambo jema kubaki madarakani huku mkiwaongoza watu wasiopendana na wanaofikiria kuuwana ama kupigana. Nimalizie kwakusema ccm ndo mmesababisha yote haya
 
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.

ndo umemaanisha nini maana kama unakurupuka vile! Pia kuuwa ni halali? Dini yenu inaruhusu?
 
Tujaribu kuangalia kwa mifano nchi gani zina machafuka zaidi ya umwagaji damu zile zenye idadi kubwa ya wakristu au zenye idadi kubwa ya waislamu. Ukishajua huna haja ya kujua dini ipi ni ya Mungu. Pamoja na makomplikesheni yote humpendeza binadamu na si Mungu

Kweli mkuu umejaribu kufiki kwa kina
 
Na kupata elimu ya kimagharibinako haramu pia si ndio? Refer Boko Haram na jamaa zenu Taliban
Gonga hapa: BBC News - Taliban continue to target schools

Nani apeleke mtoto wake Akasome ulaya, aje akose wajukuu? Huko Midume inaolewa tena Makanisani. Sheria za nchi zishapitisha Wanaume kuolewa na wanaume wenzao Ruksa. Mtoto akirudi masomoni ulaya, unaona anacheka cheka tu, kumbe ndio hivyo tena. Mhhmhhh! MSIJE MKATUCHAFULIA HALI YA HEWA BURE! BAKINI NA ELIMU YENU! SISI TUSHAZOEAGA KUSUSA ELIMU ZA HIVYO.
 
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.

Sasa Mbona hata hao mashoga wote ni wa upande huohuo wa kwako ?
 
Hakuna kifungu kama hicho kwenye qur'an maana qur'an imesema wazi kuwa muislam anapaswa kula nyama iliyochinjwa kwa jina la ALLAH:shut-mouth:

Hatasisi Biblia inatukataza kula chakula kilichofanyiwa makafara. Sasa kama mnachinja kwa jina la alla mungu asie hai kwa nini tule matambiko yenu?
 
ila kipo kifungu cha KuWAITA MASHETANI,KUWATUMIA MASHETANI..hahahaha nyie noma..hicho ndo kitabu kitakatifu?

Kwani tofauti ya kuumua mtu kwa kumchinja na kumpiga bomu la sumu, au Block buster na kusambaratisha viungo vyake vyake vyote, iko wapi? ACHENI KUVUTA, AU KUVUTIWA BANGI, KWETU SISI PIA NI HARAMU.
 
Sasa Mbona hata hao mashoga wote ni wa upande huohuo wa kwako ?

Upande gani? Hivi wewe hatakama elimu yako ni ya NDALICHAKO, basi hata kusikia husikii. Sikatai kua wapo watu wenye majina ya kiislamu wenye kufanya Uhalifu waaina nyingi tu, ikiwemo Uchangudoa, Ujambazi, Ushoga nk. Lakini hao wanafanya hivyo kama sehemu ya jamii, sio kwa mujibu wa dini yao. LAKINI JE HILI LA KUPITISHA SHERIA BUNGENI KUHALALISHA USHOGA, NA KUUPITISHA KUWAKUBALI MAKANISANI, BADO NI WAISLAMU NDIO WANAO HUSIKA?.

WAKE UP MAN. FUNGUA MACHO NA MASIKIO YAKO. USIBURUZWE TU.
 
hivi uyo yesu amekuja mwaka huu na kuwaambia muweke machinjio yenu? maana ukristo umekuwa km katiba kila siku kuna mpya
 
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.
"Akili za kuambiwa changanya na zako" By J.K.
 
Unayemsema ni Mungu yupi? Yule wa shari na mauaji ambaye huwalazimisha watu kumfuata na kumwabudu kwa ncha ya upanga? au Mungu wa amani anayewapenda watu na kuwapa uhuru wa kuchagua kumwabudu kama itikio la upendo wa mioyo yao kwake?? Maana hizi dini zinaonyesha kuwa zinaanbudu Mungu tofauti!!!

wapi katika quran imeandikwa kulazimisha watu wajiunge na uislam??? toa ushahidi... au ndivyo mnadanganywa huko kwenye masinagogi yenu??? imeandikwa kuutetea uislam mpaka nguvu ya mwisho.. dhidi ya dhulma,
 
Nawashauri wana JF na wa TZ kwa ujumla, badala ya kupoteza muda kujadili matokeo ya kidini mfano "kuchinja, kuuwawa na kutiwandani viongozi wa dini, kuchomwa nyumba za ibada, maandamano ya kidini n.k" hebu tutumie muda wetu kutafuta mzizi wa chokochoko hizi halafu tuukate. TUNAKOELEKEA NI KUBAYA WA TZ
Mbona mzizi upo wazi? Mzizi wa tatizo ni Kikwete, kutaka madaraka kwa njia yoyote ikiwemo kumwaga damu za watanzania. Kwa miaka na miaka tumeishi kwa amani, lakini 2010 alipoona dalili za kurudi Ikulu zinapotea akaona atumie udini ili kumuwezesha kurudi tena Ikulu. Na haya ndo matokeo ya uroho wa Kikwete kutafuta madaraka. Nina wasiwasi miaka yake miwili ya utawala haitaisha kabla nchi haijaingia vitani.
 
Kwani huo ushoga uko wapi sana zanzbr na pwan au?ufilaji kaleta nani si huyo huyo mwarabu?

Wewe unafikiria kwanini UAMSHO wanataka Zanzibar Yao, Watalioano, Waingereza, Wafaransa ndio wanaharibu watoto wao katika mahoteli yao ya kitalii. Wanataka kuzui vile vile kutembea mitaani na chupi eti wataliii. Madhara ya utalii ndio yanayo wakumba Zanzibar, Mombasa na kwengineko. Kwani isiwe LINDI, MTWARA , BAGAMOYO AU PEMBA?
 
Unayemsema ni Mungu yupi? Yule wa shari na mauaji ambaye huwalazimisha watu kumfuata na kumwabudu kwa ncha ya upanga? au Mungu wa amani anayewapenda watu na kuwapa uhuru wa kuchagua kumwabudu kama itikio la upendo wa mioyo yao kwake?? Maana hizi dini zinaonyesha kuwa zinaanbudu Mungu tofauti!!!

"Say : O ye Kafirun! I worship not that which ye worship. Nor will ye worship that which I worship. And I will not worship that which ye have been worship, nor will ye worship that which I worship. To you be your way, and to me mine." (109:1-6)
 
Nani apeleke mtoto wake Akasome ulaya, aje akose wajukuu? Huko Midume inaolewa tena Makanisani. Sheria za nchi zishapitisha Wanaume kuolewa na wanaume wenzao Ruksa. Mtoto akirudi masomoni ulaya, unaona anacheka cheka tu, kumbe ndio hivyo tena. Mhhmhhh! MSIJE MKATUCHAFULIA HALI YA HEWA BURE! BAKINI NA ELIMU YENU! SISI TUSHAZOEAGA KUSUSA ELIMU ZA HIVYO.
Mzimu naona avator yako umeweka picha ya shoga, inakuaje tena atii?
 
Mzimu naona avator yako umeweka picha ya shoga, inakuaje tena atii?

Sasa utafanyaje ndugu yangu! Ukifika mji kila mtu anachongo, nawe fumba lako moja ili usalimike. Kijana huyo ni Ustadhi kabisa, alisoma Madrasa pale Indonesia, anajua kilakitu, ila unadhani unaweza kua Rais wa Marekani bila kuwapiga changa la macho!
 
Back
Top Bottom