Jambo TBC1. swala la kuchinja

Jambo TBC1. swala la kuchinja

Sasa utafanyaje ndugu yangu! Ukifika mji kila mtu anachongo, nawe fumba lako moja ili usalimike. Kijana huyo ni Ustadhi kabisa, alisoma Madrasa pale Indonesia, anajua kilakitu, ila unadhani unaweza kua Rais wa Marekani bila kuwapiga changa la macho!
Dini hairuhusu changa la macho, je uraisi wa marekani ni bora kuliko pepo, unatakiwa ukemee mabaya popote ulipo bila kujali kukosa ya kidunia, si ndio dini inavyosema? sasa hapo inakuaje?
 
Dini hairuhusu changa la macho, je uraisi wa marekani ni bora kuliko pepo, unatakiwa ukemee mabaya popote ulipo bila kujali kukosa ya kidunia, si ndio dini inavyosema? sasa hapo inakuaje?

Kumhadaa adui inaruhusiwa!
 
Kwa hakika kila mwenye akili salama anatambua kwamba hii ni nchi ya kuvumiliana kwa kuwa tunaamua sasa kuwa kila dini kivyake,tuanzie kwenye kuchinja twende kwenye mahoteli,hosptali,halafu tugawane na siku ya kupumzika kisha tuhamie kugawana na madaraka ya uongozi wa nchi yetu tukufu,na kila kinachowezekana kugawika tugawane na serikali itoe ruzuku kwa dini zote hii ndio njia pekee ya kuleta amani nchini mwetu
kumbe un akili nakusapot HAKI SAWA KWA WOTE
 
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.

Mungu ndo kitu gani mkuu? Angalia historia ya waafrika halafu soma vizuri mwanzo wa dini za kigeni (ukristu na uislam) halafu njoo na maana halisi ya huyo Mungu. Tunajaribu kumfahamu zaidi Mungu kupitia vitabu vya wayahudi na waarabu na kujifanya tunaelewa zaidi kuhusu Mungu. Ikiwa dini ni imani ya mtu kamwe hupaswi kumlazimisha mtu aamini kile unachoamini ilhali ana amini vingine. Tujiulize mababu zetu na wote ambao si waislam wala wakristu tunawaweka wapi. Iwapo unachoamini kinatokana na kilichoandikwa kwenye kitabu na kila dini ina chake huoni kuwa hatuwezi kuafikiana zaidi ya kuvumiliana? Katika imani hakuna iliyo bora zaidi ya nyingine bali ni kwa mtu binafsi. Ukitambua haya huwezi kujifanya we ndo uko sahihi zaidi ya mwenzako
 
EXTERMINATOR, Hauja kosea kusema haya ndugu yangu. Hua sisi tunapenda watu kama nyinyi ambao mnapenda kujua. Nikweli kua Uisalamu na Ukristo ni dini za kuja hapa kwetu Tanganyika na Afrika kwa ujumla.

Lakini waliwakuta mababu zetu wakiabudu Miti mikubwa na Majabali. Hivyo, waka reason pamoja juu Uungu wa miti mikubwa na Majabali. Hivyo ndio Mababu zetu wakakubaliana kufuata hizo ambazo walikubaliana nazo kua Mungu hawezi kua mti au Jabali au MZIMU.

Hadi unaweza kuanzisha mjadala huo, with open mind utaona kua, Mababu zetu walikua sahihi kuacha kuabudu Madogoli, vinyamkera na Mizimu.
 
Kumhadaa adui inaruhusiwa!
Hauruhusiwi kuikana imani yako ili kumuhadaa mtu, ikibidi ni bora kufa kuliko kuliko kukana imani yako. Huyu jamaa aliikana imani yake, nadhani unakumbuka sokomoko lililompata kuhusu masuala ya dini wakati anaanza kugombea urais. Na anaonekana kuijenga nchi vilivyo kuliko waliotangulia, kwa maana hiyo je ni kwa nini anawajenga maadui badala ya kuwabomoa?
Waliomtangulia walishindwa kumdhibiti Madevu , lakini yeye kamuua kikwelikweli je huoni kama bado anawasaidia kikwelikweli hao unaowaita maadui ambao unadhani anawahadaa?
 
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.

Dini ya Mungu ni ipi? dini ni imani tu, unachoamini unaweza kukuta sio, how did you prove that your faith is real, tuache kutapatapa na kujikweza tu, ukipitia philosophy ya dini huwezi tena kujiona dini yako ndo ya Mungu.
 
hauruhusiwi kuikana imani yako ili kumuhadaa mtu, ikibidi ni bora kufa kuliko kuliko kukana imani yako. Huyu jamaa aliikana imani yake, nadhani unakumbuka sokomoko lililompata kuhusu masuala ya dini wakati anaanza kugombea urais. Na anaonekana kuijenga nchi vilivyo kuliko waliotangulia, kwa maana hiyo je ni kwa nini anawajenga maadui badala ya kuwabomoa?
waliomtangulia walishindwa kumdhibiti madevu , lakini yeye kamuua kikwelikweli je huoni kama bado anawasaidia kikwelikweli hao unaowaita maadui ambao unadhani anawahadaa?

Nani kakwambia kua waislamu WOTE tuna msapoti madevu. Uislamu hauruhusu mauaji ya kiholela! Waislamu Wengi tulilaani kitendo cha Septemba 11, iwe kilifanywa na Madevu au Mtu yoyote.
 
Dini ya Mungu ni ipi? dini ni imani tu, unachoamini unaweza kukuta sio, how did you prove that your faith is real, tuache kutapatapa na kujikweza tu, ukipitia philosophy ya dini huwezi tena kujiona dini yako ndo ya Mungu.

Dini ya kweli ni ile inayo mtofautisha, Mnyama na Binadamu. Isio amini kua Mungu ni Binadamu anaeweza kukamatwa na kudhalilishwa na viumbe wake mpaka aka omba msaada. Dini ya kweli ina amini kua MUNGU ni Mmoja, hakuzaa, wala hana mtoto, hakuzaliwa na wala Mungu Sio watatu. Dini ya kweli inapiga marufuku, dhulma za iana zote, iwe katika elimu (NECTA) au kugawana pato la taifa(MOU). Inalaani unywaji Pombe, Kula Nguruwe na USHOGA.
 
Upande gani? Hivi wewe hatakama elimu yako ni ya NDALICHAKO, basi hata kusikia husikii. Sikatai kua wapo watu wenye majina ya kiislamu wenye kufanya Uhalifu waaina nyingi tu, ikiwemo Uchangudoa, Ujambazi, Ushoga nk. Lakini hao wanafanya hivyo kama sehemu ya jamii, sio kwa mujibu wa dini yao. LAKINI JE HILI LA KUPITISHA SHERIA BUNGENI KUHALALISHA USHOGA, NA KUUPITISHA KUWAKUBALI MAKANISANI, BADO NI WAISLAMU NDIO WANAO HUSIKA?.

WAKE UP MAN. FUNGUA MACHO NA MASIKIO YAKO. USIBU

Ha ha ha ha kumbe wamepitisha bungeni? mi nilidhani utatoa ushahidi kwamba msahafu wao umeruhusu? kama ni bungeni basi ni sehemu ya jamii tu kama hao mashoga walio wengi ambao ni wa upande wako.na kwa nini hawa mashoga wapo sana mikoa ambayo nyie mpo wengi? na wote ni wa upande huo huo wa kwako.usiniulize upande gani kwani unajifahamu kabisa kwamba uko upande upi
 
Hakuna kifungu kama hicho kwenye qur'an maana qur'an imesema wazi kuwa muislam anapaswa kula nyama iliyochinjwa kwa jina la ALLAH:shut-mouth:

kati ya watu wadini wewe ni mmoja wao,kwanza hujui uisilamu,kipo kifungu kinaitwa surat maida 5.5.
 
Upande gani? Hivi wewe hatakama elimu yako ni ya NDALICHAKO, basi hata kusikia husikii. Sikatai kua wapo watu wenye majina ya kiislamu wenye kufanya Uhalifu waaina nyingi tu, ikiwemo Uchangudoa, Ujambazi, Ushoga nk. Lakini hao wanafanya hivyo kama sehemu ya jamii, sio kwa mujibu wa dini yao. LAKINI JE HILI LA KUPITISHA SHERIA BUNGENI KUHALALISHA USHOGA, NA KUUPITISHA KUWAKUBALI MAKANISANI, BADO NI WAISLAMU NDIO WANAO HUSIKA?. WAKE UP MAN. FUNGUA MACHO NA MASIKIO YAKO. USIBURUZWE TU.

Ha ha ha ha kumbe wamepitisha bungeni? mi nilidhani utatoa ushahidi kwamba msahafu wao umeruhusu? kama ni bungeni basi ni sehemu ya jamii tu kama hao mashoga walio wengi ambao ni wa upande wako.na kwa nini hawa mashoga wapo sana mikoa ambayo nyie mpo wengi? na wote ni wa upande huo huo wa kwako.usiniulize upande gani kwani unajifahamu kabisa kwamba uko upande upi

NA KURUHUSU MASHOGA KUA MAKASISI NAO HILO NI KWA MUJIBU WA MSAHAFU GANI? NITAJIE NCHI YA KIISLAMU ILIO HALALISHA USHOGA. WEWE KWA AKILI YAKO USHOGA UKO UPANDE GANI?

JE MAPADRE WAMEACHA KUWALAWITI WATOTO WADOGO. AU MAPADRE NO NI WAISLAMU.

LINI NYIE MTAKIRI UKWELI?

FUATILIA MAKUNDI YA MASHOGA, MAKAO MAKUU YAKE YAKO WAPI?

AU KANISA LA ANGLIKANA KIONGOZI WAKE NI MUFTI?

Mmmchhhhhhhhhh!!!!
 
kila mtu apewe uhuru wa kuchinja,muislamu,mkristo,yahudi,mhindi,na apewe uhuru wa kuuza nyama yake hiyo buchani lakini kwa masharti ya kubandika mabango yanayotueleza kuwa hiyo nyama imechinjwa kwa misingi ya dini gani???!!!
msipoteze muda saaaaaaaaana,mimi kama muislamu nitanunua nyama kwa muiskamu mwenzangu,na wewe kama mkristo nunua nyama kwa mkristo mwenzako na tuwe tumeokoa mda na kila mmoja ajiskie rahaaaaaaaaaa ya kuchinja,khabari kwisha
 
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.

MUNGU hana dini
 
Ngoja nikale mie maana hizi habari za UDINI zimekuwa kwenye chat ya top 10.Ni bora niendelee kuwa RASTAFARIAN kuliko kumchukia baba/mama/kaka/dada yangu.Peace n' love.
 
Nani kakwambia kua waislamu WOTE tuna msapoti madevu. Uislamu hauruhusu mauaji ya kiholela! Waislamu Wengi tulilaani kitendo cha Septemba 11, iwe kilifanywa na Madevu au Mtu yoyote.
Basi ni wewe pekeyako, maana yake hata waislamu wote ninaowafahamu waliokuwa huku, walisherekea.
 
hivi uyo yesu amekuja mwaka huu na kuwaambia muweke machinjio yenu? maana ukristo umekuwa km katiba kila siku kuna mpya

hata mi nawashangaa sana hawa jamaa ina maana kuna andiko linawaktza msile nyama iliyochinjwa na waislam?
 
Tumesha waelezea sana kuhusu hili, mnatusumbua . Mihadhara itaendelea, pombe ni haramu, nguruwe ni haramu na ushoga ni haramu. Hamna haki ya kuchinja maana nyie sio dini ya Mungu.

Ndiyo maana mungu wenu anaruhusu kuchinjana kama wenzenu wa Somalia na waislam wengine maana ni sehemu ya ibada yenu shame on you
 
Back
Top Bottom