Jambo linalonitia hofu kuu, Msaada wako muhimu

Endapo kama unapoatwa na hali hiyo pindi unapokaribia guest au lodge, mshukuru Mungu anakuepeusha na mabalaa...

Cc: mahondaw
 
Mimi nadhan Mungu anakupenda anakuepusha na mabaya yaliyo mbele yako inawezekana una kitu cha kipekee ndani mwako
Sawa... Umewahi Sikia hali hii kwa Wengine
 
Yes.. Jitahidi kuomba sana tumia nguvu zako kujitenga na uovu ukiweza funga hata maramoja hakika Mungu atakujulisha/kukuonesha mwenyewe pasipo kuwekewa mikono na mtumishi yeyote
 
Amina Mtumish Ndafanyia kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom