Liz, why are you so sure?
je, huoni kwamba anaweza akawa tu decent kwa maana ya kwamba amashajifunza kutokjana na haya yaliyotokea? For God's sake she is a human being..she can change in a positive way!
Kaizer unataka nimwamini mtu anayetumia kisingizio cha kazi kuacha mtoto wake katika mikono aliyoiahidi kuwa hatarudi kwake zaidi ya mbegu? Kama hiyo kazi inalipa yeye hana ndugu wa kuwaachia wamtunzie mtoto mpaka awe stable huko aendako? We are all human beings and so is Uporoto's wife for God's sake! She is so sincere! hakutaka unafiki. Hebu huyu mama alee mwanae sijaona mahala amesema ndugu zake hawapo tayari kumtunza mtoto kwanini kachagua kumrudisha kwa Uporoto ( I am sorry sitasema kumrudisha kwa baba yake...maana siamini ubaba ni mbegu tu ni zaidi ya hilo hivyo kwangu baba yake ni marehemu). Kaizer!
kiapo hakija expire, shida iko wapi hapo? raha alikula uporoto, swali langu kwako kwanini unataka mke wa uporoto alee huyu mtoto wakakti mtoto ana mamake?....kwanini mporioto ackae na hawara yake chini waongelee ili jambo washauriane wampeleke kwa mama yake mporoto au kwa mdogo/dada yake na hawara? kwanini mnataka huyu mama amlee mtoto wakati baba kashasema atamtunza wewe unataka mke wa mporoto amlee, huyu hawara alee mtoto wake mwenyewe akishirikiana na mporoto, tena vizuri kabisa mporoto kakubali kumtunza kwanini hawara akatae kutunza damu yake?...
Mtoto huyo ni damu yako kama ambavyo walivyo hao uliozaa na mke uliye naye. Tena nakushauri mtunze vizuri maana kipata tabu au kusoneneka vitawapata watoto wako kwa sasa, na kwa bahati mbaya akifa kwa uzembe wenu atamaliza hao watoto ulio nao. Mchukue mtoto, tafuta mfanyakazi ambaye yeye atakuwa ana mshughulikia mtoto huyu tu. Pia athma inapona, tena bila wasiwasi, tafuta wataalam wa dawa za mitishamba (siyo waganga wa kienyeji). Na tumbo lina shida gani? Hebu eleza magonjwa ya huyo mwanao hapa upate ushauri wa dawa. Tatizo mnakimbilia sana kwa madawa ya kizungu mnaacha yale ya mababu zetu!! Yale ni mwisho wa kazi tusiyadharau, cha msingi jua matumizi yake sahihi!!
kaka Maane, huyo mfanyakazi anapagiwa na nyumba ya kuishi yeye na mtoto au?..na kama ni hivyo n bora uporoto amshauri huyo hawara yake hilo jambo na wakaishi pa1 zambia.
:confused2:
Okay, sasa labda niulize tu kwa nini hutaki kwamba huyu mke wake uporoto amlee huyo mtoto?
Kwa nn unakuwa na moyo mgumu Nyamayao mwache ajilele mwanae...!
kwasababu mtoto ana mama yake mzazi na mama hajatoa sababu za maana kukwepa / kutotaka kumtunza mtoto wake wa kumzaa....
Kaizer unataka nimwamini mtu anayetumia kisingizio cha kazi kuacha mtoto wake katika mikono aliyoiahidi kuwa hatarudi kwake zaidi ya mbegu? Kama hiyo kazi inalipa yeye hana ndugu wa kuwaachia wamtunzie mtoto mpaka awe stable huko aendako? We are all human beings and so is Uporoto's wife for God's sake! She is so sincere! hakutaka unafiki. Hebu huyu mama alee mwanae sijaona mahala amesema ndugu zake hawapo tayari kumtunza mtoto kwanini kachagua kumrudisha kwa Uporoto ( I am sorry sitasema kumrudisha kwa baba yake...maana siamini ubaba ni mbegu tu ni zaidi ya hilo hivyo kwangu baba yake ni marehemu). Kaizer!
mke wa uporoto na alee mtoto kama ataweza kum adopt moja kwa moja. .
kwasababu mtoto ana mama yake mzazi na mama hajatoa sababu za maana kukwepa / kutotaka kumtunza mtoto wake wa kumzaa....
Mtoto huyo ni damu yako kama ambavyo walivyo hao uliozaa na mke uliye naye. Tena nakushauri mtunze vizuri maana kipata tabu au kusoneneka vitawapata watoto wako kwa sasa, na kwa bahati mbaya akifa kwa uzembe wenu atamaliza hao watoto ulio nao. Mchukue mtoto, tafuta mfanyakazi ambaye yeye atakuwa ana mshughulikia mtoto huyu tu. Pia athma inapona, tena bila wasiwasi, tafuta wataalam wa dawa za mitishamba (siyo waganga wa kienyeji). Na tumbo lina shida gani? Hebu eleza magonjwa ya huyo mwanao hapa upate ushauri wa dawa. Tatizo mnakimbilia sana kwa madawa ya kizungu mnaacha yale ya mababu zetu!! Yale ni mwisho wa kazi tusiyadharau, cha msingi jua matumizi yake sahihi!!
mke wa uporoto na alee mtoto kama ataweza kum adopt moja kwa moja.
kama ana nia ya kufika kumtafutia kazi na kumpa pesa za matunzo ........................aombwe favor nyengine alee tu mtoto.
Exactly Liz, simu-undermine mke wa uporoto lakini pia nisingependa tu undemine maslahi ya mtoto
huyo mwanamke aliyezaa naye jamani ni wa kumpotezea kwa sasa kwa sababu hayuko tayari kumsupport huyo mtoto....
sasa ni nafasi ya Uporoto kuwa baba sasa in that case....
halafu Liz..njoo PM basi...naona kama umeniita apo:behindsofa:
sasa Mrs, kwani baba hana HAKI ya kumlea mtoto? mbona inaonekana ni haki ya mama yake tu?:confused2: