Jambo leo mnapotosha jamii.

Jambo leo mnapotosha jamii.

Skype

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
7,266
Reaction score
1,637
Gazeti la jambo leo la tarehe 8 Juni 2012 limeandika "LOWASA ACHANGISHA BILIONI 421".
Ukifungua ukurasa unaofuata kwenye content utakuta wameandika hivyohivyo bilioni 421.
Lakini baadaye nimepitia magazeti mengine yote yanasema ni MILIONI 421. Kwa mantiki hii ninawasiwasi na elim ya mhariri wa gazeti hili.
Kweli wamepotosha jamii. Kama chombo cha habari kinapotosha jamii sasa tutamwamini nani ktk kupata habari sahihi? Tutafakari.
 
Na wewe unasalisaidia kupotosha jamii.
 
Nani ananunua iyo takataka?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
umekosa kzi ,jambo leo si sawa na uhuru,kiu na ijumaa,hiyo jero katoe sadaka kama haina kazi.
 
umekosa kzi ,jambo leo si sawa na uhuru,kiu na ijumaa,hiyo jero katoe sadaka kama haina kazi.
Tache jamani kununua magazeti yanayopotosha jamii ili tusiwe sehemu ya kuimarisha biashara zao za upotoshaji kwa manufaa yao
 
umekosa kzi ,jambo leo si sawa na uhuru,kiu na ijumaa,hiyo jero katoe sadaka kama haina kazi.
Tuache jamani kununua magazeti yanayopotosha jamii ili tusiwe sehemu ya kuimarisha biashara zao za upotoshaji kwa manufaa yao
 
Jambo leo wanaandika udaku wa siasa, kama unataka soma udaku wa siasa basi nunu JAMBO LEO..!!
 
Back
Top Bottom