Jambo hili fikilishi

LUGWA

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
960
467
Jambo hili fikilishi.

FB_IMG_1701795172686.jpg
 
Wamekupa maarifa na bado wakutafsirie, pumbav kabisa mwafrika kama wewe..

Waliotafsiri bible kwend kiswahili ni waswahili wenyewe.

Miafrika sijui tukoje, lawama kwa kila kitu kuona eti mzungu kakudhurumu.
Safi kabisa!

Na wana miaka mingapi tangu waondoke? Mwafrika umeshatafsiri cho chote katika lugha zako? Ajabu hata vitabu vya grammar katika lugha nyingi za Kiafrika ni vile vilivyoandikwa na wamishenari halafu unawalaumu?

Hebu kaa ujaribu kutafsiri Chands kwa Kiswahili au Kiha tuone! Hebu nitafsirie Archimedes Principle au Newton's laws of motion kwa Kisukuma.

Waafrika bana sijui tuna nini. Bado tuko masikini kwa sababu tulitawaliwa. Oh real? Siyo kwamba sababu kubwa ni huu ufisadi wa kihayawani na kutokuwa na viongozi wenye maono?

Hopulesi kabisa sisi! 🚮🚮🚮
 
Inaumiza sana,lakini ukitulia ukiomba unafeel uwepo wa Mwenyezi Mungu na mwanaye Mpendwa Yesu Kristo.Uchawi,uganga kama vipo kweli basi aliyehai anatembea nasi sikuzote.Jina lake libarikiwe.
Magic
 
Safi kabisa!

Na wana miaka mingapi tangu waondoke? Mwafrika umeshatafsiri cho chote katika lugha zako? Ajabu hata vitabu vya grammar katika lugha nyingi za Kiafrika ni vile vilivyoandikwa na wamishenari halafu unawalaumu?

Hebu kaa ujaribu kutafsiri Chands kwa Kiswahili au Kiha tuone! Hebu nitafsirie Archimedes Principle au Newton's laws of motion kwa Kisukuma.

Waafrika bana sijui tuna nini. Bado tuko masikini kwa sababu tulitawaliwa. Oh real? Siyo kwamba sababu kubwa ni huu ufisadi wa kihayawani na kutokuwa na viongozi wenye maono?

Hopulesi kabisa sisi!
Jamii formula
 
Kuendelea kulalamika you will remain stuck , Maarifa tayari yapo its up to you to be knowledge seeker to dig knowledge there's a lot of books that u can use to upgrade ur understanding on financial ,spiritually, engineer and etc.

Blaming is shit
Yakhe.
 
Back
Top Bottom