Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,457
- 2,191
Watu wa mvinyo Ktk ubora waoWatahamiaje huku ruzuku zinaishia barView attachment 1164113
Watu wa mvinyo Ktk ubora waoWatahamiaje huku ruzuku zinaishia barView attachment 1164113
Cuf wana jengo (Wanalomiliki) la ofisi wapi?Mimi sijaona galama kwa upande wa chadema bora wangelalamika chama cha cuf , kwasababu cuf wanayo majengo ya ofisi , chadema wao ni wapangaji kuhama ni dakika tu kodi ikiisha wanahama
Yaani kuna watu wana roho za kimaskini sana. Yaani hizo glasi mbili za mvinyo ndizo zimekutoa roho!!??Watahamiaje huku ruzuku zinaishia bar
Kichwa chako tope tupuNyie mbona hamkutaka kupanga katika majengo yaliyoko mitaani badala yake mkaenda kuvamia UDOM?
Hata kukaa karibu tu na mbaya wako ni gharama kwani hata mwanasheria Mwandamizi wa Chama alipigwa risasi Dodoma...mji Mkuu. Kwa hiyo gharama si lazima fedha wakati wote bali maisha ni gharama kubwa zaidi.Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Wewe ni kutoka kulekule kwa shujaa wa dunia....... Sema gharama siyo galama, sema msajili siyo msajiri.Mimi sina chama Mimi nimeuliza ilinifahamishwe galama za wao kuhamia dodoma
Hii ni dunia kijiji, enzi za kidijitali, sio lazima kurundikana pale jangwani Dodoma!Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Chadema Ni taasisi kubwa Kama BAKWATAHivi Chadema ni taasisi ya serikali?
Kwani lazima tuhamie Dodoma?Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma