Jambo CHADEMA kukataa kuhamia Dodoma

Jambo CHADEMA kukataa kuhamia Dodoma

jaap

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2018
Posts
5,344
Reaction score
7,102
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?

Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
 
Mimi sina chama Mimi nimeuliza ilinifahamishwe galama za wao kuhamia dodoma
Nyie mbona hamkutaka kupanga katika majengo yaliyoko mitaani badala yake mkaenda kuvamia UDOM?
 
Watahamiaje huku ruzuku zinaishia bar
tapatalk_1563788991297.jpeg
 
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema nigalama kubwa lakini miminajiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe galama? Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Hivi Chadema ni taasisi ya serikali?
 
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?
Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Kwa nini wahamie Dodoma
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Sasa kama wao wameona gharama kubwa kuhama wewe unapinga nini?
Sipingi tatizo ile ofis pale mtaa wa ufipa chadema wamekodi jengo kwaiyo kuhama inakuwa si galama kwao kwani nyumba zakukodi sizipo nyingi tu dodoma , chadema magari wanayo ni kubeba vifaa vya ofisi tu
 
Kwa nini wahamie Dodoma
Msajili wa vyama alisema ofisi yake imeamia Dodoma akawahambia vyama vya siasa vitakuwa vinafata Huduma Dodoma kwaiyo akawashauli wahamie Dodoma ili waweze kuhudumiwa kwa ukaribu zaid
 
Sasa kama wao wameona gharama kubwa kuhama wewe unapinga nini?
Mimi sijaona galama kwa upande wa chadema bora wangelalamika chama cha cuf , kwasababu cuf wanayo majengo ya ofisi , chadema wao ni wapangaji kuhama ni dakika tu kodi ikiisha wanahama
 
Kifupi inaweza isiwe gharama Ila na wao hawapangiwi cha kufanya
Mimi sijaona galama kwa upande wa chadema bora wangelalamika chama cha cuf , kwasababu cuf wanayo majengo ya ofisi , chadema wao ni wapangaji kuhama ni dakika tu kodi ikiisha wanahama
 
Wanaokunywa hapo hawana hela binafsi?
Ni mafukara kama sisi huku vijijini?
Umechukia kwasababu ya furaha yao?
Kuhamia Dodoma je kupo kwenye mpango wa chama na vipaombele vyao?
Je ni lazima vyama viende Dodoma au serikali ndo iende Dodoma?
Mimi napinga vitu viwili tu katika yote uliyosema.
Wewe sio fukara na wewe huishi vijijini.
 
Sipingi tatizo ile ofis pale mtaa wa ufipa chadema wamekodi jengo kwaiyo kuhama inakuwa si galama kwao kwani nyumba zakukodi sizipo nyingi tu dodoma , chadema magari wanayo ni kubeba vifaa vya ofisi tu
Umewaza juu ya magari na vifaa !!. Je umewaza kuhusu kuwahamisha watendaji nafamilia zao ?!. Na gharama zitokanazo

Haya mambo siyo ya overnight ni mchakato na hasa kujiuliza kuhusu gharama. Kama ofisi ya msajili ita finance gharama hizo hata wakisema kesho yake watu wanahama
 
Msajiri wa vyama alivitaka vyama vya siasa vihamishie ofisi kuu zao za chama Dodoma nashangaa CHADEMA wamepinga na kusema ni garama kubwa lakini mimi najiuliza CHADEMA ofisi ya makao makuu yao pale mtaa wa ufipa wamepanga jengo kwanii swala la wao kuhama iwe garama?

Si wasibiri kodi ikiisha wahamie Dodoma
Kwenda huko!
 
kusoma na kuandika hujui , ndio uwe uchambuzi ?
 
Back
Top Bottom