MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Mkuu;Insanity! Sasa kama kajisalimisha si apelekwe rumande kusubiri kesi? Kosa halina expiry date, hadi ulilipe. Sasa na milioni 1 juu??! Na hivyo vyombo vya habari vilijuaje ataenda kujisalimisha siku hiyo? Maigizo mengine ya kitoto sana..
Kwahiyo wameitwa kwenye igizo sio? Basi sawa..Mkuu;
Tumia hata akili ya kawaida kama unayo kutambua kuwa baada ya Jambazi kujisalimisha kwa DC, vyombo vya habari viliitwa.
Vyombo vya habari Dar Es Salaam havina habari, hata wewe ukiviita kwenye tukio lolote vinakuja kwa wingi.
Kujisalimisha maana umetafuta usalama kwa kujipeleka mwenyewe kabla hawajakukamata wao, sasa kama kajisalimisha basi apelekwe mahakamaniKujisalimisha ni tofautina kukiri kosa / makosa na kueleza namna ulivyohusika. I stand to be corrected.
Tumezoea movi za magufuli aki ekti kumsaidia mama mnyonge pesa ya matibabu, hii movi actor ni nani? DC au jambazi?Jambazi sugu aitwaye Ali Mtemi amejisalimisha katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya baada ya kukoswa koswa kuuwawa na Askari wa doria mara nne katika Wilaya ya Kigamboni huku baadhi ya wengine katika kikundi chake wakiuwawa na kukamatwa.
Polisi wamekuwa wakimsaka kwa muda mrefu ambapo amekuwa akijificha katika mikoa mbalimbali lakini hatimaye ameamua kujitokeza na kwenda kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni ili kuomba msamaha kwenye Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kigamboni.
Ujasiri wake wa kujisalimisha umepongezwa na Kamati ya Ulinzi ya Ulinzi na Usalama, ambapo Mkuu wa Wilaya amemuahidi kumsaidia shilingi 1,000,0000 kama mtaji wa biashara baada ya kuahidi ameachana na ujambazi mbele ya wazazi wake na mjomba wake.
Mkuu wa Wilaya amemuomba akawe ni kioo kwa vijana wengine ambao bado wanafanya vitendo vya wizi na ujambazi katika Wilaya ya Kigamboni.
NB: Kumbe hata majambazi wanaogopa kifo!
Video ya jambazi sugu akijisalimisha kwa Mkuu wa Wilaya.
Wanarudiaga Hawa........Mkuu;
Tumia hata akili ya kawaida kama unayo kutambua kuwa baada ya Jambazi kujisalimisha kwa DC, vyombo vya habari viliitwa.
Vyombo vya habari Dar es Salaam havina habari, hata wewe ukiviita kwenye tukio lolote vinakuja kwa wingi.
Hehee only in Tz muhujumu uchumi, wabakaji na majambazi wanasamehewa kupewa zawadi juuInsanity! Sasa kama kajisalimisha si apelekwe rumande kusubiri kesi? Kosa halina expiry date, hadi ulilipe. Sasa na milioni 1 juu? Na hivyo vyombo vya habari vilijuaje ataenda kujisalimisha siku hiyo?
Maigizo mengine ya kitoto sana.