Uwoga, ushamba, lack of confidence, lack of preparation all in one. This things are not automatic lazima wafanye mazoezi and that is where Zain kama sponsor needs to come in. Kuwapa access to internet and reading material ili waweze kujitayarisha vizuri. Halafu wanatakiwa washindanishwe na wenzao at 3 times kabla hawajaenda kwenye mashindano. Nimesomea vyuo vya Kenya na hawa watu are serious about this competitions. Kila wiki timu iliyochaguliwa kurepresent chuo wanashindanishwa na wenzao kama part ya matayarisho so by the time wanaenda kwenye mashindano confidence zao ni za hali ya juu. Hapa nadahani tatizo linaanzia kwenye selection kwani if you mess up there even the team that you will send to represent will mess up. Zain wao wanafacilitate mashindano lakini hawajihusishi sana na maandalizi ya teams zilizochaguliwa na this gives them a bad negative association kwani there's no return on the investment. Lakini hawana budi kuendelea na sponsorship hii since ni ya karibu bara zima but i'm sure wenzao huwa wanachekelea coz every year our teams are the laughing stock.
Ahh hili sijui lakini noma tupu. Kisa kinajulikana. pamoja na kuelewa unaenda wapi na unatakiwa kufanya nini watuw anaokwenda pale utazania wamezoea mzula. Unapotaka general knowledge lazima uzame kwelikweli kwenye topic unachagua sheria halafu mambo kikindakinda. jamani ilikuwa noma. Hawakujipanga inshort.Unatrakiwa kuruhusu best brain kwenda katika busara na kumbuku za fast. pale ni michuano ya unakumbuka nini na how fast. Si shule ni majedwali ya maswali sasa kama huna nyenzo za kutamalaki Ulaya unataka nini huko Ulaya?Unataka Shakespear mwenyewe mvivu wa kusoma ukichapwa na sentensi unachemka ha ha ha sisi kama mafala vileMimi nimo hapo
Back to ze madaz.
Si huwa wanapewa maswali mengi wanasoma then wanaulizwa?
Unategemea nn kwa watanzania kama mind zenyewe ndo kama za huyu hapa?Haya mashindano yanamsaidia nini mtanzania wa kule bukene??? Ni upuuzi tu
This is the whole point.That is not the case mzee, maana Kiingereza kinachotumika sio kigumu kiviile mtu akashindwa kuelewa!! ni upeo mdogo tu wa mambo ya kidunia!!
na hili ndo tatizo lenyewe.Haya mashindano yanamsaidia nini mtanzania wa kule bukene??? Ni upuuzi tu
Siyo kwamba hawana elimu, tatizo ni confidence ndo inakosa, mara nyingi ndugu zetu wanakuwa na inferiority complex katika kujibu!
Ama kuna some sort of komunikeshen barrier, coz that might lead to the poor performance... am just thinking out loud
This is the whole point.
na hili ndo tatizo lenyewe.
Toka nimeingia hapa nabaki kucheka, na sasa tunachekana!
Kama adui wa mwanamke ni mwanamke, je adui wa mtanzania ni nani?
kwanini tusisifiane tu hata kidogo bana..!?
Hivi haya maswali yanayoulizwa kwenye "ZAIN Challenge" yanahitaji elimu ya CHUO KIKUU? Haya maswali yanaweza kujibiwa hata mtoto wa Form I au II mwenye kupenda kusoma vitabu na makala mbalimbali.
Swali kama hili linahitaji degree ya CHUO KIKUU?
Lets go India: When did the Construction of Taj Mahal began?