Mimi ndiyo naona kituko kabisa inakataa kulog in kwa kutumia cumputer yangu lakini kwenye simu inakubali! Nimebadili PC nyingine ikakataa hadi nilipobadili nyingine tena ikakubali! Yahoo saizi wana shida sana.Wadau habari
Jamani naombeni msaada wenu yahoo imekuwa ina matatizo gani mara nyingi nashindwa kulog in inakataa wanadai invalid user id mara chache sana inakubali kwa id hii hii.
Tatizo hili linatokea hata kwa user wengine wanaotumia computer yangu je nifanye nini kutatua tatizo hili?
siyo tu kulogin..mimi ya kwangu ina tuma email hovyo..
Wadau habari