Jamani whatsup imeondoka na 2017?

Mimi nilijua ttcl 3g yake ipo jf tu WhatsApp haotumii.

Zima washa data kumbe ni server zao wenyewe... pumbavu imerud sasa
 
You may have new messages... Ndo kinacho display kwny dashboard
 
Ndo washazima TZ Mange si alishasema? Bado kuzima Internet tuu wote tunabaki na ndio mzee.

Hehehee don't rely on Kasie she is Matata.
project ya wachina wamelipwa hela nyingi sana
 
Dhuuuuu mm mpaka nme I uninstall
Maana nliona n kama cm ndo inacheza na network lkn baada ya Ku download upya hakuna ktu Bado ttz likopalepale
Kumbe n wengi co pekeang
 
walikua wanabadili gia angani wanahamisha meseji zenu kuzipeleka mwaka mpyaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…