Mtupi Danny
Member
- Jan 4, 2019
- 35
- 2
umsahau password
nachojua shortcut Piga Window tu ila futa disk ya window pekeake ucpoteze vitu vyako
Sent using Jamii Forums mobile app
nifuate pm, weka namba yako ntakupigia nikuambie la kufanya. Ujue sitaki pesa, jf ni bure. Sitaki uweke no yako hapa waziwazi.
hii ni kwa password ya windows, haifanyi kazi kwa mziki wa HDD au BIOS password
Password ya hard disk na bios password ni vitu tofauti, kama umesahau password ile ya bios ambayo ukiwasha tu computer kabla haijaload window ile password kuitoa itakubidi ufungue PC yako utoe battery ndogo mviringo kama ya saa (cmos battery) kwa dakika kumi then uirudishe.hii ni kwa password ya windows, haifanyi kazi kwa mziki wa HDD au BIOS password
mtagi mtoa mada mkuu ndo mwenye shidaPassword ya hard disk na bios password ni vitu tofauti, kama umesahau password ile ya bios ambayo ukiwasha tu computer kabla haijaload window ile password kuitoa itakubidi ufungue PC yako utoe battery ndogo mviringo kama ya saa (cmos battery) kwa dakika kumi then uirudishe.
Kama ili encrypt harddisk yako itabidi utoe maelezo zaidi ya software uliyotumia kuiwekea password
Kiongozi ninayo laptop yenye BIOS password ivi ina uwezekano wa kutoka maana inakuwaga tabu kupiga windowPassword ya hard disk na bios password ni vitu tofauti, kama umesahau password ile ya bios ambayo ukiwasha tu computer kabla haijaload window ile password kuitoa itakubidi ufungue PC yako utoe battery ndogo mviringo kama ya saa (cmos battery) kwa dakika kumi then uirudishe.
Kama uli encrypt harddisk yako itabidi utoe maelezo zaidi ya software uliyotumia kuiwekea password kwenye hard disk
Nenda kwa mtu unayemwamwini kwamba anajua kuitenganisha na kurudisha laptop mwambie aitoe CMOS battery kwa dakika 5 na kisha arudishe.,...hapo password ya bios hapo tenaKiongozi ninayo laptop yenye BIOS password ivi ina uwezekano wa kutoka maana inakuwaga tabu kupiga window
Sent using Jamii Forums mobile app