Jamani wataalam wa computer nimesahau HDD password za PC yangu nifanyeje?

Machozi ya Simba

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,215
2,000
hii ni kwa password ya windows, haifanyi kazi kwa mziki wa HDD au BIOS password
Password ya hard disk na bios password ni vitu tofauti, kama umesahau password ile ya bios ambayo ukiwasha tu computer kabla haijaload window ile password kuitoa itakubidi ufungue PC yako utoe battery ndogo mviringo kama ya saa (cmos battery) kwa dakika kumi then uirudishe.

Kama uli encrypt harddisk yako itabidi utoe maelezo zaidi ya software uliyotumia kuiwekea password kwenye hard disk
 
dronedrake

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
6,855

Kama ili encrypt harddisk yako itabidi utoe maelezo zaidi ya software uliyotumia kuiwekea password
mtagi mtoa mada mkuu ndo mwenye shida
 
kush moker

JF-Expert Member
Feb 11, 2016
399
250
Password ya hard disk na bios password ni vitu tofauti, kama umesahau password ile ya bios ambayo ukiwasha tu computer kabla haijaload window ile password kuitoa itakubidi ufungue PC yako utoe battery ndogo mviringo kama ya saa (cmos battery) kwa dakika kumi then uirudishe.

Kama uli encrypt harddisk yako itabidi utoe maelezo zaidi ya software uliyotumia kuiwekea password kwenye hard disk
Kiongozi ninayo laptop yenye BIOS password ivi ina uwezekano wa kutoka maana inakuwaga tabu kupiga window

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom