Jamani...Wapi Ray C?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani...Wapi Ray C?!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by dazipozi, Jan 13, 2012.

 1. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I miss her..,Na game lina m'miss pia...Mx
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Yupo anacheza porno za kibongo. Umeishaiona porno ya Ray C na Chidi Benzi? BTW, anajua kukatika pia akiwepo ndani ya 6 kwa 6.
   
 3. l

  lwangam Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Ray C Yuko hapa Nairobi anishi mahala panaitwa Ngara kwenye hostel. Mara kwa mara ana mascandal za ugomvi na mapromoter. Ana fanya ma show mabar ambayo hayalingani na kiwango chake cha usaani. Rumours ni kwamba anatumia unga sana MPakA show zenyewe hawezi perform ndo kwamana ana ugomvi na promoters. Muombeni jamani na msimlaumu. Kumbukeni nyimbo alizotoa mbeleni vile zilitupea starehe maishani.
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  akshon anampiga maumivu ngumi ya kushoto....LOL!
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kuna wakati nilisikia kuwa amemrudia muumba wake kiimani
   
Loading...