Jamani wapi Padre Kalugendo?

Jamani wapi Padre Kalugendo?

Mabagala

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
1,477
Reaction score
327
Nakumbuka sana makala za huyu Padre kwenye gazeti la RAI. Siku izi simskii tena, hasa baada ya kanisa kutomtambu. Alihamia gazeti jengine ama ameacha moja kwa moja kuandika? tupeane habari watu wazima, angekuwepo hapa najua tungefaidika sana na makala zake, kama vile MM MWANAKIJIJI.
 
Back
Top Bottom