Jamani wapendwa msaada hii simu siielewi

ghetopuzzle

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
442
Reaction score
506
Rejea kichwa cha uzi hapo juu kuna hii simu aina ya tecno WX3 ..kuna dadaangu kainunua kwa mtu nimemwashia inaleta mlolongo huu wa setting tafadhali msaada kwa mwenye uelewa picha hizo hapo chini ..nimeattach kwa series toka ukiiwasha mpaka pale ninaposhindwa kufanya chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpelekee huyo aliyemuuzia akaweke GMAIL yake au mwambie akupatie GMAIL yake na PASSWORD.

Kama uko mwanza nione nitatue tatizo.

Kama una uzoefu na sofware tafuta miracle box.
 
Mkuu inawezekana hapo kama mtu aliemuuzia yupo akupe Google account na password unaingiza hapo mambo yanakua poa.kama vipi tafuta fundi wa software anakutilea dk 2 Tu.kama uko dar nicheck 0754604567 WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ingia hapo kwenye account ya google, ingiza email yake na password kama anazo. Kama hana ingiza za kwako halafu naadae umtengenezee email.
 
Mkuu inawezekana hapo kama mtu aliemuuzia yupo akupe Google account na password unaingiza hapo mambo yanakua poa.kama vipi tafuta fundi wa software anakutilea dk 2 Tu.kama uko dar nicheck 0754604567 WhatsApp

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok shukuran japo sipo dar ila nitajaribu kutafuta mafundi hapa nilipo kama nitapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ya wizi.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…