Kweli jamaa inabidi atumie busara tu ingawa mwanamke hajamtendea haki kutaka kumwambukiza kwa makusudi...ila wakae wazungumze tuusimtengeeee ndugu yangu usimtengee...sio vizuri kumkimbia mwezie alie athirika,chukulia upande wa pili wa shilingi angekuwaa yeye ndo mwanamke kamkimbia,inatiaa faraja pale unapo jua mwezako anakujali na kukupa tumaini jipya.sio kuishi nae ndo asiriki nae tendo au vitu ambavyo nirahisi kuambukizwaaa.je?kama tokea mwazo alijua mwezio muathirika kwaninii ali zaa nae.........
makosa ya mwanaume
si mnaambiwa kila siku tumieni kinga na mkitaka kavu mpime kwanza??????
sasa anamlaumu nani?
usimtengeeee ndugu yangu usimtengee...sio vizuri kumkimbia mwezie alie athirika,chukulia upande wa pili wa shilingi angekuwaa yeye ndo mwanamke kamkimbia,inatiaa faraja pale unapo jua mwezako anakujali na kukupa tumaini jipya.sio kuishi nae ndo asiriki nae tendo au vitu ambavyo nirahisi kuambukizwaaa.je?kama tokea mwazo alijua mwezio muathirika kwaninii ali zaa nae.........
Asimhame aendelee kuishi nae, mbona ya kawaida hayo. Ila kwenye kuduu lazima watumie kinga.
Na huyo shem wako unasema ana jeuri, kivp?
Walioana vipi bila kupima?
Duh,usiseme wanawake tutawauwa,mnajiuwa wenyewe....hata biblia imesema, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...tunajua kuna ukimwi unaoambukizwa kwa njia tofauti kubwa ikiwa ngono....utakuwaje salama,kapime au tumia kinga. Mwanaume hupimi, tatizo liko kwa nani?? kama hujipendi wewe mwenyewe,mwanamke ndo akufundishe jinsi ya kuishi??? Tumieni akili,tatizo mnatumia viungo vya uzazi kufikiri....amuache tu huyo dada,ila somo amelipata,na wengine wengi!
sasa arudi kufanya nini wakati tayari kashaokolewa na gonjwa....ila sasa namshauri jamaa yeye amfanyie kitu mbaya huyo mkewe kama vile kumtia kilema ili akome....maana ni muuaji sasa akimtia kilema atateseka kabla ya kufa. loh! kweli nimeamini tuwaheshimu hawa wanawake kama mama zetu lakini usishikwe masikio kabisa kwenye suala la mapenzi.
Kama umewahi kusoma thread ya Majimoto ya "biashara ya uchawi tanzania" anaeleza kwamba kuna ukimwi ambao siyo wa kweli. Mtu anapimwa hospitali anaonekana anao kumbe ametupiwa mapepo tu ya ugonjwa huo na akiombewa na yakitoka akipima tena anaonekana hana. Inawezekana ndio ukimwi wa aina hiyo anao shemeji yako na ndiyo maana kaka yako na mtoto ni wazima. Nafikiri ukimwi wa aina hiyo (ambao siyo halisi) hauambukizi wengine.