Jamani wanawake mtatumaliza

Na miaka hii kwanini watu mbebane hadi ndani bila kupima? Kwani huu ukimwi unaoongelewa daily unawahusu kina nani? Pimeni jamani?
Kwanini umuamini mtu?
Wote wana makosa
akae amtunze mwenzie
 
asihame nyumba,cha msingi hapo ni yeye na mke wake kwenda kwa mshauri,iliwaweze kupata ushauri jinzi ya kuishi,nadhani mwanamke akielezwa ukweli ulivyo ataelewa tu,kwani nadhani nae anahitaji mtoto akue ktk mazingira mazuri yasiyo na kikwazo so hatuweza kujaribu kutafuta mbinu yeyote ile ya kumwambukiza baba wala mtoto
 
Duh, kwa kweli kuambukiza ugonjwa kwa makusudi is unforgivable.
Ila siku hizi ndo fassheni labda
Hii itakuwa kesi ya 3 kuiona
Bahati huyu hajaambukizwa, niliowaona awali wote wameambikizwa

Kumtenga itampa majonzi mke
Anaweza hata kufa mapema badala ya kulea mtoto
Je mtoto wamelinda? au wanamlinda? Asimnyonyeshe bora

Wanaweza ishi pamoja
Ila hamna ku du
 
usimtengeeee ndugu yangu usimtengee...sio vizuri kumkimbia mwezie alie athirika,chukulia upande wa pili wa shilingi angekuwaa yeye ndo mwanamke kamkimbia,inatiaa faraja pale unapo jua mwezako anakujali na kukupa tumaini jipya.sio kuishi nae ndo asiriki nae tendo au vitu ambavyo nirahisi kuambukizwaaa.je?kama tokea mwazo alijua mwezio muathirika kwaninii ali zaa nae.........
Kweli jamaa inabidi atumie busara tu ingawa mwanamke hajamtendea haki kutaka kumwambukiza kwa makusudi...ila wakae wazungumze tu
 
makosa ya mwanaume
si mnaambiwa kila siku tumieni kinga na mkitaka kavu mpime kwanza??????

sasa anamlaumu nani?

lawama awezi kuzikwepa mwanamke, kwa sbb baada ya kumbana alikuja kiri kwamba alikau na wsws na afya yake baada ya x wake kufariki katika mazingira ya kutatanisha,
 
usimtengeeee ndugu yangu usimtengee...sio vizuri kumkimbia mwezie alie athirika,chukulia upande wa pili wa shilingi angekuwaa yeye ndo mwanamke kamkimbia,inatiaa faraja pale unapo jua mwezako anakujali na kukupa tumaini jipya.sio kuishi nae ndo asiriki nae tendo au vitu ambavyo nirahisi kuambukizwaaa.je?kama tokea mwazo alijua mwezio muathirika kwaninii ali zaa nae.........

Yan unasema anatakiwa kumjali? Mbona yeye hakumjali kwa kumwambia ukweli kwamba ameathirika? labda kama dada alikua hajui yeye ameathirika hapo ni swala jingine. Huyu dada angekua na busara sana kama angemweleza huyo bwana kabla ya kuoana, hapo kama jamaa angemkimbia baada ya kuishi nae tungemwaona mwehu! Ila alichofanya sasa hivi hakuna wa kumlaumu coz ameponea kwenye tundu la sindano. Hata wewe najua ungeghafilika na kumkimbia kwa vile hakuwa Muwazi tangu mwanzoni. Kama jamaa anatunza mtoto wake, basi haina shida
 
Asimhame aendelee kuishi nae, mbona ya kawaida hayo. Ila kwenye kuduu lazima watumie kinga.
Na huyo shem wako unasema ana jeuri, kivp?

yani ujeuri same time anaweza mjbu broo mbovu kishenzi tena mbele za watu, na ukorofi ukorofi mwingine tu
 
Lizzy mjini kuna kila aina ya watu
Kuna mmoja namfahamu alilipa daktari
Wakapima vizuri, tena hospital 2

walikaa kwenye ndoa miaka kama 6
Wote sasa ni marehemu

Ila kwa mtu smart hii ni ngumu kutokea.
Walioana vipi bila kupima?
 
Duh,usiseme wanawake tutawauwa,mnajiuwa wenyewe....hata biblia imesema, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...tunajua kuna ukimwi unaoambukizwa kwa njia tofauti kubwa ikiwa ngono....utakuwaje salama,kapime au tumia kinga. Mwanaume hupimi, tatizo liko kwa nani?? kama hujipendi wewe mwenyewe,mwanamke ndo akufundishe jinsi ya kuishi??? Tumieni akili,tatizo mnatumia viungo vya uzazi kufikiri....amuache tu huyo dada,ila somo amelipata,na wengine wengi!

michelle skiza kuusu kupima kabla ya ndoa apo naweza sema kweli broo alichemka,ila mkewe alikua anajijua kuwa ni mgonjwa,na baada ya kubanwa kasema
 
hapa wanaume mmekuja juu sana maana mwenye matatizo ni mwanamke. wakati kutwa wanaume kusambaza ma ukimwi mtaani. au mnadhani hatujui. ukifiwa na mke, unajua kabisa na wewe umeathirika lakini unaoa tena, wako wengi mie nawafahamu wa style hii. wanawake tuna mioyo ya huruma wala hatuwaachi hata tukijua, lakini hapa mnafundishana ujinga, aachwe, atiwe kilema. ingekua wewe je? mna roho mbaya sana wanaume...
 
sasa arudi kufanya nini wakati tayari kashaokolewa na gonjwa....ila sasa namshauri jamaa yeye amfanyie kitu mbaya huyo mkewe kama vile kumtia kilema ili akome....maana ni muuaji sasa akimtia kilema atateseka kabla ya kufa. loh! kweli nimeamini tuwaheshimu hawa wanawake kama mama zetu lakini usishikwe masikio kabisa kwenye suala la mapenzi.

Huo ni unyanyapaa wa hali ya juu, kama huyo mwanaume alikuwa makini kwanini hakumwambia mwenzie wapime kwanza kabla ya kuoana? Kwani yale matangazo ya VVU yako kwa ajili ya nani, kama ni mzembe atakutana nao tu hata akimbilie wapi....
 
Kama umewahi kusoma thread ya Majimoto ya "biashara ya uchawi tanzania" anaeleza kwamba kuna ukimwi ambao siyo wa kweli. Mtu anapimwa hospitali anaonekana anao kumbe ametupiwa mapepo tu ya ugonjwa huo na akiombewa na yakitoka akipima tena anaonekana hana. Inawezekana ndio ukimwi wa aina hiyo anao shemeji yako na ndiyo maana kaka yako na mtoto ni wazima. Nafikiri ukimwi wa aina hiyo (ambao siyo halisi) hauambukizi wengine.
 
Kama umewahi kusoma thread ya Majimoto ya "biashara ya uchawi tanzania" anaeleza kwamba kuna ukimwi ambao siyo wa kweli. Mtu anapimwa hospitali anaonekana anao kumbe ametupiwa mapepo tu ya ugonjwa huo na akiombewa na yakitoka akipima tena anaonekana hana. Inawezekana ndio ukimwi wa aina hiyo anao shemeji yako na ndiyo maana kaka yako na mtoto ni wazima. Nafikiri ukimwi wa aina hiyo (ambao siyo halisi) hauambukizi wengine.

da ee bwana hii ndo naiskia kwako ngoja niifanyie kazi kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom