naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,750
- 2,438
Amina Mkuu nilijua na ww account yako imeibiwaNdio mimi mwenyewe mkuu
Sihitaji likes. Bali natembea katika njia iliyo sahihi.
Amina Mkuu nilijua na ww account yako imeibiwaNdio mimi mwenyewe mkuu
Sihitaji likes. Bali natembea katika njia iliyo sahihi.
Afu mbona huu uandishi siyo ule wa Evelyn niliyemzea?ha ha ha eeeh.mpendwa nlikuwa.kwenye photoshoot maandalizi ya Ukuta
Na sisi tuibe bas km hutojaliha ha ha eeeh.mpendwa nlikuwa.kwenye photoshoot maandalizi ya Ukuta
GOD[emoji120]Who runs the world.....
Hapana mkuu.Amina Mkuu nilijua na ww account yako imeibiwa
Nimeona kama umeni quote msg ndefu lakin siioni tena nilivokua nataka niisome ..umeidelete??Haya tuwasikie watatujibu nin...
Sory sana Mkuu..! Idea ilipotelea kati nkaona isiwe ishu.Nimeona kama umeni quote msg ndefu lakin siioni tena nilivokua nataka niisome ..umeidelete??
Wala usjali nilishangaa tu imetowekajeSory sana Mkuu..! Idea ilipotelea kati nkaona isiwe ishu.
Yaani nimekaba hadi unyayoMkamatie haswaaa
Ya walimwengu ni mengi nilinde vizuri mwaya![emoji1]Ngoja nimlinde honey wangu miye asijepata vipusa
hapo ni sawa na kuziba debe, unaziba hapa kule kunatoboka....Ngoja nimlinde honey wangu miye asijepata vipusa
Nahisi siku ya pili ama ya tatu thread za MMU asilimia kubwa zinawashambulia wanawake hasa eneo la ndoa na mahusiano. Na zinakuja kwa kasi kweli kukiwa na maneno makali.
Kulikoni my lovely ladies wa humu!!!