Wana jamvi jamani tabia ya wanawake kugeuza wanaume benki hawajui maana ya mapenzi wao wanatanguliza pesa kila ukimpigia simu kumjulia hali yeye anaanza kuomba hela jamani sasa tutaogopa hata kuwapigia simu tena inakera sana naomba mbadilike kuwatongoza sio ishara ya kuwaambia muombe pesa tumieni huu mda kubadilika
#habari_mnayoo #
#habari_mnayoo #