Jamani wanaume wasomi mna nini?

Kuna shekhe mmoja aliongea kuhusu namna ya kumtunza na kumuheshimu mwanamke..akasema kuna watu wengine wanajidai busy mno mafaili, malaptop mpaka kitandani chumbani..hapo lazima house boy amege mbaya
 
Maisha haya yana tabu sana hasa mambo ya kushirikiana,,,,,
Hii tabia inanichukiza sana ya mwanamke kuchukua pesa bila taarifa kuendeleza kwao ndo mana wanaume wengi wasiri unakuta ana biashara mke hajui!!!
Acha tu unaficha lakini ukifikiria haya maisha na vifo unaona bora umshirikishe ili japo ukiwahi mbele za haki yeye aweze kisimama dede watoto wasome na kama hayo ndio linakuja suala la kushirikiana hapo!!!

Sasa ukiwa na juha ye anakufelisha kabisa badala ya kuongeza nguvu jahazi lisonge!!
Na inakatisha tamaa sana unapojua mko wawili kumbe mwenzio mawazo yako kwao hapo yuko kiuno ma tumbo tu!!!!
 

There is always a way to make your family happy, including what you have said
 

Usemacho ni kweli,,,,,, me huyo jamaa simlaumu japo mi ni mwanamke pia but kuna wanawake mizigo ndani ya ndoa mpk hua najiuliza wametokea sayari gani dunia hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
after all hio kesi wataimaliza wanandoa kwa kununuliana ruby ,, boxer na mpya mechi ya gafla yenye makombora hatari nyuklia haifikii while wakiacha kusolve tatizo........... hapo mzimu wa umaskini lazima uendelee kututafuna africa
 

Hapo ni busara na maombi tu ndo vitasaidia.......... ndio maana baba angu anasisitiza sana kigezo cha family status ya muoaji/muolewaji hii inakuepusha kdg kutegemewa na ukoo mzima ww ndo ubadilishe uchumi wa ukoo....
 
Kwa hiyo unataka ushauri gani kwa huo umbea wenu!?

Nadhani mambo yenu ya ushosti malizieni huko huko.
 
Umaskini Africa au hata kwenye familia utamalizwa kwa maarifa, bidii, maelewano(kueleweshana) na ujasiri...si kwa kutukanana na kupigana..
 

Well said mkuu ni knowledge juu ya knowledge nimeipeda hii
 
Hapo ni busara na maombi tu ndo vitasaidia.......... ndio maana baba angu anasisitiza sana kigezo cha family status ya muoaji/muolewaji hii inakuepusha kdg kutegemewa na ukoo mzima ww ndo ubadilishe uchumi wa ukoo....
Aaaanh babako naye anafanya maisha ya vijana kuwa magumu kiasi fulani!!!!!
 
Dharau zipo tu! Ni tabia ya mtu nina mchumba ana certificate mi ninachukua degree lkn hv ninatype hapa amenivuruga nikituma mesej sijibiwi nikipiga simu anasikiliza kama anamsikiliza Millard wa 88.4 Couds FM Dar, kama elimu ndo inatia kibur bas nimepata wazo la kwewnda kuchukua std 7 kwa village tu sasa maana wa mjini atajiona ndege town.
 
Huyo Dada anavuna alichopanda....alipanda dharau ya elimu za wame wa wenzie.....sasa anavuna mavuno ya elimu ya mumewe ambae hajaelimika ila kasoma.

Kama sijaeleweka nipo tayari kurudia.
 

Mwambie huyo rafiki yako ajifunze "DHARAU". Mbna case ndogo sana hyo. There is a way she shud re-act (sijui nimweleze vp) ila kuna namna ya kudharau ikiwemo using tha power of silence. Utakuja kuniambia. Jamaa atajiona fal* / mseng* ye mwenyewe.
Akionyesha kuumizwa na kuwa affected na maneno yake, jamaa ndio atavimba bichwa na kuzidi kumgandamiza. Seriously hii tabia naichukia sana. Mwanamke hatukanwi wala hapigwi bwana. Zipo namna za kumtuliza mwanamke na kumfunza. We ngoja waje mgegeda mkewe ndio atazinduka.
 
Nadhani ni tabia tu ya huyo jamaa... wala sio PhD yake...
 
Naona wengi wamemkomalia jamaa..sina maana hana makosa la hasha,ila kuna sehemu pia ya huyo mwanamke ambayo haiko sawa..
 
Naona wengi wamemkomalia jamaa..sina maana hana makosa la hasha,ila kuna sehemu pia ya huyo mwanamke ambayo haiko sawa..

Kimsingi dada anapata malipo yake hapa hapa duniani,kwa sababu inaonesha ni mtu jeuri,malingo na kiburi.Mungu kaamua kumlipa hapahapa duniani.Mi cmulaumu huyo PhD holder.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…