Queen Horse
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 414
- 317
kama naona jamaa anavo mkoromea huyo bibie. teh teh teh....
but mchiz anazingua habari hayo sio mapenz definitely
kuna wakina dada wanabahati mbaya wanakutana na wanaume ambao 'selfish' hiyo ni shida mnao...yaani mtu mimi, mimi, hela zangu, mimi nimesoma, magari yangu, mimi utaniambia nini nimesoma..ukidate na mtu wa mmimi, mimi, mimi,mimi kimbia ufe...
yah mkishakua wawili hamna cha mimi mimi mimi tena ni sisi sisi sisiUmenikumbusha jamaa alikuwa anamrekebisha mkewe anamfokea yani wewe ni mbinafsi sana utasikia watoto wangu mara nyumbani kwangu kwani nini wewe mbinafsi hivyo? Wakati akiongea hivyo mkewe alikuwa anapekuapekuwa kabatini mume akamwambia tena ona mimi naongea wewe upo bizy tu unatafuta nini sasa uko kabatini mke akamjibu mumewe natafuta sidiria zetu ha ha ha ha .