Wanaume nawaomba muoe na muache kutupiga sisi

2025DG

JF-Expert Member
Jan 30, 2023
508
1,426
Mwanaume.

Nyie ndo nguzo za familia na kichwa cha familia .
Ila niko na machache nataka kuongea na nyie kama mihimili naona mnakosea.

Najiuliza imekuaje wanaume tunaowapenda kuwathamini tunatoa muda wetu kwenu Ila hamtaki kutuoa.

Yaani nikipika chakula kwako,nikakufulia nguo ukinipa mimba unataka sogeza tukae.

Wazazi wangu hauwajui wala ndugu yangu hata mmoja.Ila kuendelea kunizalisha na kuniongezea watoto unaona cha maana.

Unajiita mwanaume unatumia muda mwingi kunipiga mibao jamani,baada ya kula tunda adimu Mungu alilonijalia.

Yaani mwanaume unanipiga mimi mwanamke.

Jamani nimekaa nimejiuliza wanume mtuoe ,

Tunahitaji ndoa

Muache kutupiga.
 
Mwanamke mwenye thaman, tabia njema, Hekima na Ukarimu ataolewa tu, Ukishamvulia mwanaume chupi una asilimia 70 % ya kuachwa.

Ndo maana sample dukani haiuzwi, inaangaliwa na kuachwa, wakati wa kununua unataka mpya.

Haijalishi mwanaume anakutongoza kwa nguvu gani hata kama mu wachumba, kulala naye kunapunguza hari ya kukuoa.

Kama vitu vyote unampa kabla ya ndoa, atatoa wapi hari ya kukuoa? Kuna sababu kwa nini dini zote zinakataza zinaa.

  • Uislam
  • Ukristo
  • Sabath
  • Maadili
  • Wazazi wasio na dini...

Wote wanakataza zinaa, ipo sababu ya msingi sana kwa nini wanakataa.

Bado wanaume wanatafuta wanawake wa kuwaoa wanawakosa, demand ni kubwa.
 
Kuna dini inaitwa Sabbath (Sabato)? Au ulimaanisha dini ya kiyahudi (Judaism)?
 
🤔🤔🤔 ungemtumia tu mhusika inbox.....ngoja kwanza lakini tuwasikie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom