Jamani wanajf weekend njema!

asante, ubarikiwe sana.
Ni faraja kuona tunakumbushana kumrudia Mungu wetu.
 
asante RDI, but mwenzako nmenuna leo. sijaenda disco wala bar. yaani nmefulia kinoma. but hamna noumer. ngoja nilale zangu mapema halafu kesho niamke mapema hadi saa sita ntakua nshapata picha siku inaendaje. usiku mwema. Mia
 
Back
Top Bottom