Vodacom huu mnaoufanya sasa hivi ni unyanganyi

Vodacom huu mnaoufanya sasa hivi ni unyanganyi

Ali Mazroon

Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
25
Reaction score
14
Wadau siku hizi imekuwa ni kawaida kuibiwa kwenye mitandao ya simu asa kwenye vifurushi vya siku au week.
Mathalani vodacom Leo jijini mwanza imesumbua sana kuanzia asubuhi mpaka mida ya jioni ndio mtandao u kakaa sawa, sasa utakuta mtu alijiunga na kifurushi cha siku cha internet na wala hakupata muda wa kukitumia kutokana na tatizo la vodacom wenyewe lakini , bado muda inafika wanakwambia bundle yako ime expire.
jamani sasa huu sini unyang'anyi kama siyo ukabaji.
Pls TCRA litazameni ili kwa jicho pana.
Nawasirisha
 
yaani shenzi zao mie juz nimejiunga unlimited ta 24 hours sikutumia hata kidogo net ikawa inazingua mpk expire time
 
Back
Top Bottom