Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,261
- 7,394
jamani huu mchezo wanaofanya tigo ni mbaya sana tena ni wizi wa waziwazi.
ni hivi:
ukituma pesa kutoka tigopesa kwenda Mpesa, pesa inakwama haiendi Mpesa, halafu ukipiga simu customer care wanakwambia subiri itaenda, Pesa haiendi hata ukae wiki mbili,
ukiwapgia uwaambie warudishe pesa zako kwenye akaunt yako ya Tigo wanakuambia subiri masaa 72 sijui ni policy ya nchi yetu au uhuni! pesa hairudi ndan ya masaa 72,
ukipga tena wanakupa masaa mengne 72! yanajirudia yale yale mpaka uende ofisi kubwa kama mliman city uwe mkali wanakuitia meneja ndo anakusaidia!
WIZI mkubwa unatokea pale wakirudisha hela yako kwenye akaunt yako, HAWARUDISHI gharama yako ya kutuma ile pesa! huu ni wizi mkubwa sana watanzania hawajaushtukia na TCRA pia wamelala hawana shda mishahara yao inaingia tu!
sasa najiuliza ni watanzania wangapi wanadhulumiwa kwa kile wanachokifanya TIGO?
mfano wakikwamisha watu milioni 1 na kila mtu alikatwa elfu 1
wanapata BILIONI 1 KWA SERVICE WASIYOIFANIKISHA!
mie imenitokea hii mara tatu! na mpaka sasa kuna hela yangu imekwama huko tokea Jumanne! leo siku ya 5 na nilienda makumbusho alhamisi wakasema itarudi na haijarudi leo jpili
Tunalia sukari, tunalia mafuta, tunalia ajira, tunalia ukata, na tunalia na TIGO
. mods naomba msiutoe ujumbe wangu nataka watanzania wajue hasara wanazozipata!