Jamani wafundisheni wanawake kuoga

Jamani wafundisheni wanawake kuoga

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,307
Habari,

Nakereka sana unakuta mtu unapishana na mwanamke ananuka jasho siyo kawaida, mtu ananuka kikwapa, harufu ya mikojo, ananuka nyapu, na harufu ya uvundo wa nywele pamoja na nguo zake.

Ukimuangalia miguuni na panapo kipochi manyoya ndiyo unachoka kabisa.

Mwingine anapuliza pafyum juu ya mwili mchafu na nguo alizorudia kuzivaa zenye majasho, mwingine anavaa nguo safi juu ya mwili mchafu na bado ananuka ila anajiona kang'aa, mnatupa shida sana sisi wanaume.

Mbaya zaidi apande daladala halafu asimame mbele yako huku wewe umekaa ndiyo utajua hujui.

Hata kama mwanamke ni choka mbaya epuka kutoa harufu ya uvundo.

NB: Kuwa msafi tuu, mwanamke msafi ni fahari ya mwanaume.
 
43df0bea-ba25-424f-8520-92a5a33d06a2.jpg
 
Ndugu waonee huruma hao wanawake baadhi yao huamka saa 9 usiku anawahi sokoni buguruni kununua matunda saa 2 asubuhi anaanza kuranda mitaa kutafuta wateja mpaka jioni akirudi kwake jioni anaanza kuwahudumia watoto na mme wake unaweza kuta Ni dereva wa daladala ,mme anarudi home choka mbaya hata kugundua mkewe hajaoga kutwa anashindwa .

Huyo mwanamke atalala masaa machache saa 9 anaamka tena mume nae anamka nae saa 9 kuwahi kazini kwake kuamsha daladala yake .

Wadada kama hawa Mimi nikutana nao hasa hao ma hustler nawaheshimu sana ,lakoni kwa wadada wanaodanga halafu unamkuta mchafu ananuka hao hawasiki na mada yangu hao mwili mtaji watajijua na hali zao
 
Back
Top Bottom