Jamani wadada jitokezeni hapa

Naona kuna mmoja hapo juu 1 to reply kashajitokeza tayari..
, haya domozege kazi kwako... subili kupewa domomawe...
 
Labda waschana...lkn kwa wadada wapenda pesa hiyo Ni kidogo sana Bora uifanye mtaji uuze nafaka uswahilini.

Bada ya miaka mitatu utakuwa mjanja sana domo litakuwa jepesiiii na utajkuta una akiba ya vibubu vingine vi5 kama hicho ulichovunja.
 
Ngoja wakupune zote alafu wakuache hapo huna kitu ndio utajuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…