Jamani wadada jitokezeni hapa

ZOPPA

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
2,695
2,787
105cf4a8e740d8b1748a331d3247358d.jpg

jamani mim domo zege ila,nimevunja kibubu changu nataka wa kumuonga ila anitongoze mwenyewe mim naona aibu nitampatia ella
 
Naona kuna mmoja hapo juu 1 to reply kashajitokeza tayari.. , haya domozege kazi kwako... subili kupewa domomawe...
 
Labda waschana...lkn kwa wadada wapenda pesa hiyo Ni kidogo sana Bora uifanye mtaji uuze nafaka uswahilini.

Bada ya miaka mitatu utakuwa mjanja sana domo litakuwa jepesiiii na utajkuta una akiba ya vibubu vingine vi5 kama hicho ulichovunja.
 
Ngoja wakupune zote alafu wakuache hapo huna kitu ndio utajuta
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom