Vipi tenaMmh!
Onana na miss chagga
jamani mim domo zege ila,nimevunja kibubu changu nataka wa kumuonga ila anitongoze mwenyewe mim naona aibu nitampatia ella
Watoto kama hawa mwisho ni kufilisi maduka ya baba zao, kisa domo zegeSoma achana na mambo ya wakubwa umri ukifika udomo zege utakwisha wenyewe
Nashangaa tu mdogo wangu.Vipi tena
miss chagga unaitwa hukuNgoja waje wanaopenda pesa hahaha