Billy philip
Member
- Oct 24, 2019
- 15
- 8
Nimeona jana kwenye habari kiongozi wa HESLB akisema tayari ametoa mikopo kwa wanafunzi zaid ya 45 elfu, na kundi lililobakia kupewa ni dogo sana hasa kwa wale ambao ndiyo wanafanya marekebisho ya dosari zao.
Sasa swali ni kwamba inakuwaje kwa mtu ambaye tangu first batch anaandikiwa "complete verified, you have not secured loan analysis on progress" na bado hapewi jibu kama kakosa mazima ili ajue la kufanya.
Maana status kama inabadilika kila wakitoa batch kwa nini isiwe "you're not a poor student so you can't secure loan from HESLB" kuliko kila batch ikitoka unakuta vumbi.