Jamani ushauri mamkwe wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani ushauri mamkwe wangu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by kisesa, Nov 21, 2011.

 1. k

  kisesa Member

  #1
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  jamani nipe ushauri, mamkwa kila wakati anachukua fedha kw mke wangu, nae mke wangu hanambiii kama kampa mama yake fedha ni hadi hapo tukifanya balance nakuta upungufu ndo wife wangu husema hoo mama atarudisha lakini wapi,
  sasa majuzi nilimpasulia live mamkwe kwa ukali sitaki aje kwangu.
  na mume wa mamkwe ni mhasibu ktk BANK
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Una tembo -cardMasterCard wewe?
  Ha ha haaa!
  Hao wamekuweka wewe ATM...lakini jiangalie, je unamwachiaga huyo mamkwe kiasi cha mboga?
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sijaelewa!
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mmh! au unataka ajira kwa bank anayofanyia mume wa mkweo??
   
 6. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  shamba la bibi. mkuu unaziacha nyingi za ziada ndio maana anapata na za kumpatia mama mkwe. acha hela za matumizi husuka. kama anahusika kutunza fedha za miradi au biashara basi zingatia budget. kama kweli mama mkwe ana genuine issues sio mbaya kumpa ila ni vema wife akakushirikisha...ila kama anachukua kwa vile aliona kitenge kizuri aah hapo sio. ongea na waif mweleweshe tuu. kugombana na mama mkwe sio muafaka..kwemye makosa hapo ni mai wako wako.
   
 7. k

  kisesa Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Wewe hukuelewa topic
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  sioni tatizo ukimsaidia mkweo hapa na pale, mradi kuwe na taarifa, na si kujichukulia pesa vile apendavyo. Zungumza na mkeo.

  mkeo anafanya kazi gani? hebu mtaftie kibiashara kimuingizie kipato aweze kusaidia kwao. hata kama baba mkwe anafanya kazi benki unaweza kukuta haitunzi familia yake na msaada wa mama ni kwa bintiye.
   
 9. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #9
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,689
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  malizana naye kisela huyo mamkwe wako.Nalog off
   
 10. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwani amechukua milioni ngapi au kachukua viji senti tuu? wacha achukue mkweo huyo bila yeye mke ungekua hunae..
   
 11. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  muombe penzi mamkwe wako.
   
 12. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  duh....!!!!!!!!!
   
 13. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #13
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mbona umeguna kwa herufi ndogo? we hela za mkwewe anazipenda,sasa kwanini na yeye asiombwe?
   
 14. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #14
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo ndo umemshauri afanye kwa herufi kubwa? lol
   
 15. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #15
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kuna nini tena,ukitaka kula lazima uliwe.
   
 16. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #16
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  tehe..
  Sio kwa vyote banaa, vingine inabidi ulee tuuu
   
 17. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #17
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ni kitu gani unachoweza kukila bila na wewe kuliwa?
   
 18. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #18
  Nov 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  vingi sana mbona?
  Au labda sijakuelewa wamaanisha nini. lol
   
 19. mafiakisiwani

  mafiakisiwani JF-Expert Member

  #19
  Nov 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 456
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  namaanisha chochote kile. Mfano mie nakutaka ili uwe my wife wangu ni lazima kwanza unichune halafu ndio unipe tunda?
   
 20. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #20
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Lol pole ndugu,
   
Loading...