Jamani ushauri mamkwe wangu

Sasa mama mkwe hapo anatatizo gani?Anachukua mwenyewe kwa nguvu?Si anapewa na mwanae<mkeo>?Hata ukimpiga marufuku asifike hapo si atapelekewa tu kwa nja nyingine bana!We mkoromee mkeo tu.
 
inaonekana hupeleki matumizi ukweni kwako sasa njia ya kupata hayo matumizi ni kwa njia ya mikopo ya staili hiyo
 
Back
Top Bottom