Jamani umeshawai kuchapia wewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani umeshawai kuchapia wewe?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by tabibumtaratibu, May 11, 2012.

 1. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  Jaman kiswahili kina kuchapia kwake mfano mm niliwahi kusema mrisho ngisa@mrisho ngasa,usipo ziba ukuta utajenga ufa@usipo ziba ufa utajenga ukuta na mengne mengi.Najua kila mtu anakosea je unakumbuka ulisemaje?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Kila mtu huchapia, mtangazaji wa Radio ya watu, Efraimu Kibonde anachapia karibu kila siku...
   
Loading...