Mlimazunzu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2010
- 415
- 52
mbona wakati mwingine Lizzy,
waweza kuta mume anakaa na shemeji zake wengi tu,
lakini hakuna mikwaruzo wala migongano yeyote!
Mlimazunzu angalia usije suswa na ukoo mzima!!!!!!!
Bacha naona kama sikuelewi yaani bado unamaanisha ukae na hao ndugu zako hapo kwako wanakutegemea tu kila siku sory to say this ni walemavu au, hebu masihala bwana sijakataa kuwasaidia bali nawasaidia wakiwa home sio kujazana kwangu ai mbona hivyo kaka.
Mimi kwangu wanasaidika wakiwa huko huko sio ndugu wa my wife wala wangu