Jamani udom msicheze makida uchaguzi naibu spika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani udom msicheze makida uchaguzi naibu spika

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by papaa masikini, May 12, 2011.

 1. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Democracy ichukue mkondo wake jamani,hao wazee wa gamba wanatakiwa wajue kua zama hizi wasomi rushwa haina nafasi,watu wanajiamini ndio maana hawataki huo mchezo wenu mchafu wa kutoa rushwa kwenye kila jambo.ni hayo tu ,kila laheri udom wote.
   
Loading...