Not to that extent... Wengi wabaya ..hao ni miongoni mwa wazuri wachache
Tunawataki Safari njema.
Picha za dada zetu nazenyewe kuna watu wa nchi nyingine wanasema twendeni Tanzania.
mkuu ww umetishaHao weusi mie wataniua af ukute wamejaariwa choo...aaaaassh
urembo wa sura tu. ila sijaona hata mrembo wa kuogopa kumwacha na mume wako, ukawa na wasiwasi .Wana yao tu. Hivi hapo kuna mrembo wa kumfungisha safari mtu kweli? Hapa kwetu hatuna viwango kama hivyo?
Lakini inafurahisha kumbe Bujumbura bado kuna women of colour??? Huku kwetu wamekua nadra sanaurembo wa sura tu. ila sijaona hata mrembo wa kuogopa kumwacha na mume wako, ukawa na wasiwasi .
Mbona kawaida sana alafu watu mnashoboka hivyo
Mi nakuja kwakoTunawataki Safari njema.