SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,340
- 3,562
Mwanaume anaemdiss huyu ana wivu wa uke wenza,,, Mtoto kweli huyo,,kina kidotti wakasome
Hmm sidhan..toka kpnd kile isambae bba dadaetu kagawa game bhas international wanasema dadazetu ni cheap sana...Picha za dada zetu nazenyewe kuna watu wa nchi nyingine wanasema twendeni Tanzania.
Wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaikaWa pili kushoto mie roho yangu kwatu..!!

kwani unajua kuvuka mto kagera?
Mwanaume anaemdiss huyu ana wivu wa uke wenza,,, Mtoto kweli huyo,,kina kidotti wakasome
mange keshawapondea,Sijawai kuona wanaume wa humu jamii wanasifia wanawake wa kitanzani
Wakush hao (wasomali na wahabesh) waliochanganyika na wabantu zao lake ni shape za kupagawisha wanaume.